Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Kuna kijana amekufa kabisa juu yako sometimes ana type hadi mazingaombwe humu JF na hutaki kumuelewa🤣

Akiona hii bhaaas tunamzika.
I cant cross alcohol testline. Sikuiona. Ndio macho nayashikilia ku type😂😂
 
😂
 
Reactions: 511
🤣🤣🤣🤣Makubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dyadyaa nani alipata presha kisa sisi kuwahi voucha za mjep? Hebu nidokezeee
We shouz,Dada mpole😂
Unakumbuka kwenye pdf lile majina yetu yalikuwepo kuwa tulisemwa na bibie..Mimi,wewe,sijui na To yeye
Kumbe shida ni zile vocha😂😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣Makubwa
Kama wewe Auntie nadhani ndio ulichambwa sana maana ulikuwa mtandao mmoja na Bibie 🤣🤣🤣

Mimi tu pamoja na airtel yangu ambayo bibie alikuwa hatumii ila alininyamba huko.

Nasikia vocha zikawa zinamuumiza sana hadi akahisi pengine Mjep anataka kurusha nyavu.
😊,maskini kumbe baba wa watu roho yake ni Kusaidia tu majobless sisi.
 
Reactions: 511
Sasa kosa la mwamba ni lipi? Mbuzi kajielekeza kibla mwenyewe usipomchinja ni dharau. Wahuni hawakatai K wewe labda iwe imeoza. Ukiipeleka inapasuliwa tu.

Hamjui tu hamna kitu kinatupa furaha kama demu umempiga matukio yote ila hana mwendo kila ukimtaka ni simu moja tu huyu hapa, ni ufahari sana aisee.
Acheni mwamba ajipigie zake mautamu bila kutumia nguvu
 
Napenda utalii wa baharini na safari blue was my favorite
Yeah kuna maeneo mazuri ya kuvutia baharini, Umefanikiwa kutembelea maeneo gani mara ya mwisho tofauti na safari blue?

Pia usisahau kujaribu utalii wa train ,uta enjoy sana.
 
Yeah kuna maeneo mazuri ya kuvutia baharini, Umefanikiwa kutembelea maeneo gani mara ya mwisho tofauti na safari blue?

Pia usisahau kujaribu utalii wa train ,uta enjoy sana.
Maalum caves
Baraka aquarium
The rock
Hizi zote za zanzibar
Nje ya zenji nmeenda
Magoroto na saadan
Saadan nilienda na train it was good
Natamani kwenda mbeya via train
 

Weeee sema kweli!???🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭!

Ngachekaaa mimiiii🤣
 
Maalum caves
Baraka aquarium
The rock
Hizi zote za zanzibar
Nje ya zenji nmeenda
Magoroto na saadan
Saadan nilienda na train it was good
Natamani kwenda mbeya via train
Woow!Hongera sana,hadi mwezi February natamani niipite record yako ya utalii wa bahari hapo kwa list[emoji39].


Pia sikuwa nafahamu saadan kama kuna train




Pia unaweza kufanya utalii wa train [emoji116]..nakuhakikishia hautojutia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…