Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umeshaambiwa "Hayanaga mwongozo" kwahiyo ukae kwa kutulia Mjukuu 🤗
 
Kupitia huu uzi,nimebahatika kujua baadhi ya watu walivyo na maumbo yao,mfano@Depal,siku zote nilijua ni kadada flani hivi,kembamba... kumbe ni zigo hasa....
 
Mmeanza na ma dramaa yenuu, asee sahiv mtafute uzi wa kwenda kugombaniaa huko, na huyo basha wenu smart.

Hatutakii humu varangatiii tenaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka mafotoooii🤳🤳🤳🤳🤳🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…