Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Hilo ni moja, mbili lazima tutest mitambo.Hee yatakua hayo tena, unakaba hadi penati 😀
Hilo ni moja, mbili lazima tutest mitambo.Hee yatakua hayo tena, unakaba hadi penati 😀
Anastahili zawadi aiseeHii kazi unaiweza vizuri![]()
Uswahili mm pia naujuaNakuona mtachambwa na shemejio![]()

😂😂😂😂 Nataka mwaka usiishe bila bff kupata mwenzaHii kazi unaiweza vizuri![]()
Lamomy unakunywa Casamigos?Hilo sisi hatutaki kujua!!! Waje na vyeti vya ndoa 😂😂😂😂
Kwanza kasema hayuko booked na yeyote
Msikimbie dada bonge akija 😂😂😂Uswahili mm pia naujua![]()
HahahahahaHilo ni moja, mbili lazima tutest mitambo.
Hapo ukifanya masihara mnajikuta kishawawekaAnastahili zawadi aisee

Haa kutest how tena? (Pregnancy ?)Hilo ni moja, mbili lazima tutest mitambo.
Nimekula viazi vya kuchemsha leo, hapa nasubiri ugali na kumbikumbi.hapana,sitofahamu maendeleo yako ya afya kimuonekano...
Karibu viazi mbatata uongeze mwili.




Hapana me natumia savannah shemeji 😍😍😍Lamomy unakunywa Casamigos?
Sitakiiii had umalizee casee.
Huyu si ndio yupo na yule dogo mshamba, au nachanganya?Nataka mwaka usiishe bila bff kupata mwenza
Tresor, huyu ana masaharti mengi, namuacha tuendelee na wewe tu ule mpango😀Hahahahaha
😂😂😂😂 Wewe kunguru umenichekesha khaaaa!!!!Nimekula viazi vya kuchemsha leo, hapa nasubiri ugali na kumbikumbi.![]()
Dada bonge anamalizia kununua madirishaMsikimbie dada bonge akija![]()

Hahahahaha,hapana we endelea nae tu, mtaelewana tuTresor, huyu ana masaharti mengi, namuacha tuendelee na wewe tu ule mpango😀
Nawazoom tu!! Da bonge akija msikimbie 😂😂😂,shemeji ananichekeshaga, yaani.