Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,505
- 34,246
Nimekuelewa Antonnia and i will always support ur decision no matter what your decisions would be.Si wewe tu bestie ninajua Wengi sana wana Maswali!
Thou Maswali yao won't change the fact our love is in the air ✌️ Smart911
Ni ya muda gani?Acha tu Ila itaisha
Beautiful Dr Lizzy 🌺😍😍
😊😊😘Beautiful Dr Lizzy 🌺😍😍
Ngoja nimuulize mtu, alafu ntakwambia!Habari za Tegeta bunju wazo mivumoni madale kwa kawawa?🤣🤣
Yaan Shouzzz leo wee ndo unasema hayaa? Wee ndo wa kusema hiviii?Hizo sio shida zenyuuuu mbona shost yangu mie na uhenga Wangu huu wa kufundishwa kweli?
Kwani Smart911 kakukosea wapi shougaaangu???
Relllllllaaaaaaaaxxxxx!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimejuta na kukomaa kabisaa.Mapenzi hayaingiliwi ujue [emoji23][emoji23]
Nitumie via tsup, niko serious.Njoo uchukue[emoji1787]
Afu ananijibu mie "eti smart kaku kosea wapi?" Mara "sio shida zenyu hizo mie sifundishwi mapenzi mie na uhenga wangu huu"Yaani natamani aje atuambie maana sielewi kwakweli,nimebaki na mshangao pia
Sawaa mwayaa enjoy mapenzi yako, nimekoma na kujuta kabisaaa.Mnashangaa nini vipenzi?? Wapi iko shida[emoji1783][emoji4]???
Nacheka hadi nakaukaaaa huku mjue hebu muacheni mkaka wawatu hana shida na mtu walaa![emoji14][emoji1787]
Ngoja nijaribuu.Jaribu ku install kupitia chrome.
Unajua bado siaminiii? Naona km movie tyuuh.Nilikuwa namjibu coca [emoji1787]
Tunashangaa yaliyomsibu shoga eti ni yepi
Tobaaaah wee!! Natamani kushusha gazeti ili akili ikukaee vzur, nweiiii nshakumbukaa maneno ya wake wenzaa wakat ulee nilidhani uongoo, kumbee kweliii.Coca anishangaa miee na Smart kipenziii hahahaaa..
Nacheeeeeeka kama kichaa mimi iuwiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1783]!
Mark the date its Desemba 2023!
Hebu muulize kwan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo ni rafiki yangu sana mpaka anipe ruhusu ya kumuuliza maana naweza kumuuliza alafu asipende aina ya swali, maana ni swali gumu
Khaaaaah wee emu shtukaa unapigwaaaa?Si wewe tu bestie ninajua Wengi sana wana Maswali!
Thou Maswali yao won't change the fact our love is in the air [emoji3577] Smart911
Halooooo 🤣🤣🤣Unajua bado siaminiii? Naona km movie tyuuh.
Isiwe kweli wallah. Khaaaah
Usiingilie mapenziKhaaaaah wee emu shtukaa unapigwaaaa?
Siaminii km umekosa Pa kutua, ukaamue kuangukiaa hapo kwa smart wakooo.
Poleeeee aseeeeh.