Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Yani kaka nakuona kabisa unavyonitafutia ugomvi na wifi Ms eyes na huku binti kiziwi naye wa moto anatufaa basi ngachoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uzuri mimi kama mtu amewahiwa nakaa pembeni, ugomvi na warembo hawa mi naweza basi? Mi nishazeeka πŸ˜‚πŸ˜‚

Afu kuna kibenten namvizia we ngoja aingie kwenye mfumo, nimemuona kwa huu uzi mara moja sijamuona tena πŸ₯Ή
 
Mbona na wewe ua, tena la pink! Tupia iko kipink flower bhasi [emoji255]
Elimu yako ni kiasi gani bibie? Wewe ni mweupe sana kichwani. Kuwa mweupe kichwani sio tatizo tatizo ni kushindwa kujizuia kujulikana ni mweupe kichwani.Samahani lakini.
 
Asante[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Halafu ukijibiwa uache kukimbilia kwa mods kureport, nudeman unatakiwa kukaza. By the way tafuta uwanja mzuri nikupige punch, hapa tutaharibu uzi wa uncle Mshana, bwege wewe
 
Mzee patel aliniambia nitakuwa jambaziπŸ€£πŸ™Œ, baada ya issue ya mwisho nzito kudhamiria kuifanya,nilipewa kichapo nikawa mwekundu na chozi halitoki.

Huwezi kuachwa mdogo wangu,uzuri si hukumpea kwa bibi 🀣
Mfyuuu!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…