copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,381
Daktari wangu Lizzy#ThrowBack View attachment 2846986
π Tayana-wog khanga yako umeiona?!Lamomy nimemnunulia wifi yako kitenge. Hebu ni shauri wewe dalali mpambe nimpelekee au ni chill nayo?[emoji23][emoji16][emoji3][emoji2089]View attachment 2845370
ππππ Kumekucha!!Sio kweli wengine wanatafutana mie mume wangu mtu wangu yupo umu dm zake za jamii forum ni balaa wanachat wanapeana namba wameanzisha na mahusiano kabisa unakuja shtuka too late, taratibu ntawataja umu wanajijua
ππππ Hii mbona ilinipita!!Ndo kuwa Makin sababu nmeshaona chating zake na yy mda mrefu mapicha mnatumiana,,Sasa ntazianika Mana it's too much
π€£π€£π€£π€£ Nchi ngumu hiiAcha kutafuta kiki c uwataje kenge madoa weye [emoji1783]
π π€£π€£π€£π Tayana-wog khanga yako umeiona?!
Huyu mumeo mswahili, umeyakanyaga utachambwa had ukome πππ
πππ Tajiri kumbe mzaramo!! Tulijimix shouga!! Bora ubanane kwa Jux ππ π€£π€£π€£
Si ndo maana simtaki
Mie nataka wa ulaya ndo wananielewa
ππππ
Alooo mbona kumekucha π€£[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]aloooo
Umeona eehπππ Tajiri kumbe mzaramo!! Tulijimix shouga!! Bora ubanane kwa Jux π
Jux atakuwa kashaanza kuja huku uswekweni, si unajua kasema pilau la Christmas anakuja kula kwako πππUmeona eeh
Sema jux nae kapotea,khaaaaπ€£π€£
Acha tyuu!! Nimekuta manjegeka km yotree!! πππJf ukipotea 2 days tu unakuta mambooo π₯π₯