Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

IMG_1033.jpg

Let it snow
 
We umeniona wapi hadi useme mie mfupi? Kwa hiyo daladala wanapanda wanafunzi tu sie baba zao tunapanda nini?

Six pack naitoa wapi wakati sifanyi mazoezi, nipo na one big pack hapa sina shida na mtu
Toyota Hiace? Kimo. Aliyekypa ana bahati wafupi wana mapenzi ya kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom