Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,916
- 3,461
Fimbo ya mbali haiui nyoka ahaaaπ₯Ήπ₯Ή Eee Jailah π
Dr utavunja ndoa za watu
Mama unatupa usingiz
Tulikumiss [emoji847][emoji847]
Sasa mwanamke avae hivi hiyo nguvu ya kwenda mtaani natoa wapi? Ni kushinda ndani tu nikiangalia uumbaji.
Uamuzi mzuri, saf sanaMimi ni retired member wa hizi nyuzi
Nimezitumikia kwa uamimifu muda wote na sasa nimestaafu
Kijana anataka kujiweka kashapokea pesa ya upatu anatafuta wa kutumia naye ππππ
Kirikou anazingua halafu ni katoto kana fifteen ππππThubutuuuu
Hebu mchrki huyo mkuu anataka Kwa kupumzikia π€£
Majutraaa hea hea hia hia πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naijua hiyo πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu huyu ni lekchara wangu.
Kanifundisha bhana
πππ Ww nakupa pasi unaacha kufunga, unaleta mapambio. Shauri yako utakosa wa kula naye faida za contena la miti ya xmassEloi! eloi! Lamatabakithani!πππ
Boss mwaga vocha mida ndio hii πKama mtu shida ni bando aseme mapema ππsio saa sita usiku! Tushafunga vitabu vya siku
Mmeenda Vacay au hayanihusu nifunge domo langu!??? [emoji2960]View attachment 2841345π₯π₯π₯ sema ungetoa ka β€οΈ hako ingekuw unyama zaidiπ€£π€£π
Kwani uko wapi dr?Fimbo ya mbali haiui nyoka ahaaa
Tayana-wog pacha ake Jux kaja kivingine huku πππMtoko siyo lazima utoke na gari sometime toka na baiskeli tu.
Dr naomba hiyo ring ya vidole vya mguu π
πππTayana-wog pacha ake Jux kaja kivingine huku πππ
Msipovunja mahusiano yenu niiteni π nimekaa π