Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Wewe niache me winga wa kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
Na huyo manzi unayemtolea macho bila kunimwagia maokoto nampeleka kwa tajiri mmoja hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ana kuzoom tu. Ameniambia tabia yako[emoji16][emoji16] hadi ameniambia kama unaona anainjoi basi ujiunge mnifaidi. Nimwambia tulia bebi. Usiuzwe kwa boot tu.[emoji2089][emoji2089]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom