Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,577
Mama mchungaji nakumiss sanaWewe huyo
Ndo kuja kimyakimya hivo Ili ufunanie au🤣🤣
Ur missed kantry
Mama mchungaji nakumiss sanaWewe huyo
Ndo kuja kimyakimya hivo Ili ufunanie au🤣🤣
Ur missed kantry
😘💋🌹
January mvua nyingi bata halinogi, weka kibunda ss hivi tutumie na wifiNikichekecha mapema tashindwa hata kuzuia mzigo usitoke....ile January nyie mnahangaika na dozen za madaftar mm ndo nanyakua mwali nampeleka Zanzibar wakati zunafikiria next move
Ga-za Ga-zionEendiwoooo ndiwooo ziishi Long life IJN!
Amen
Chaliii vp nimeku-pmZa kwako zote nimekuta manyoyaa 😭
Sawa bwanaUongo zambi aisee
Hivi kwanza anajua km umepata mume kutoka migodini? 😂😂😂Wewe huyo
Ndo kuja kimyakimya hivo Ili ufunanie au🤣🤣
Ur missed kantry
Hii msg umekosea au 😁Chaliii vp nimeku-pm
Mpe taarifa rasmi maana hajui km Nina bonge la bwanaa😅Hivi kwanza anajua km umepata mume kutoka migodini? 😂😂😂
wozaaa wozaaa
Watu na matajiri wenu na bday tunayo 😂😂😂Moe taarifa rasmi maana hajui km Nina bonge la bwanaa😅
Nipo, mambo mengi kwa groundMiss you more kantri akeee sio kwa kutususa huku!
Nimefurahi kukuona tena shem mkuwe na Usiku mwema!
Tajiri atoe mpunga 😂😂😂nacheka had mbavu zinauma.
nilimiss sana haya mazaga mywaniUsiku mwema wapendwa kesho nayo siku!
Nikapumzishe fuvu langu sasa💤😴💤😴💤💤💤💤😴!
Utasubiri sanaUdugu chino anipe pesa ya saloon kwanzasijasahau mwambie


Yeah yaani strategic areaIdara mhimu 🤣🤣🏃
Acha uchawi 😂😂Utasubiri sana![]()