cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,420
- 188,164
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kazi kwako kuwaalika wana JF tajiri kasema hakuna mchango, kila kitu anamaliza.
Tutaoga mvinyo hiyo siku [emoji23][emoji23][emoji23]
Na ninavyojua wana JF wakilewa lazima watupatie connection la kuishi nalo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]