Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,950
Hawataki kiliwe na nyenyere 😂😂😂sio wachoyoo.
Hawataki kiliwe na nyenyere 😂😂😂sio wachoyoo.
Mashost zangu wote wanalipiwaWape offer. Bill italipwa
walau nafsi imetulia sasaWanabishaje wakati nao wanafurahi kupewa miongozo 🤣🤣🤣
Ok, sio lazima piaNimesema kesho sijataja tarehe 😂😂😂
Tuangalie kesho
Location detectedmchuchu mbona hujatokea tena Mwenge?!
Kazi kwako kuwaalika wana JF tajiri kasema hakuna mchango, kila kitu anamaliza.Ewaaaaa
Mbona mambo ni motooo
Udugu sie twende kwa Martin Kadinda tukashone nguva 😂😂😂😂
Jamani tufurahishe macho! ðŸ«Unicheke? sitaki
🤣🤣🤣Kazi kwako kuwaalika wana JF tajiri kasema hakuna mchango, kila kitu anamaliza.
Tutaoga mvinyo hiyo siku 😂😂😂
Na ninavyojua wana JF wakilewa lazima watupatie connection la kuishi nalo 🤣🤣🤣
UmemissJamani tufurahishe macho! ðŸ«
Tajiri unaniangusha sasa!! Badala uombe account ya kuweka pesa unaomba foto?!!Weka foto tukutunze shem na chawa wa mimi. Umenipa bebi material. You deserve
juzi kati ulinipa stress nipo bush nasikiliza tbc nasikia maduka yateketea mwenge nika nakufikiria wewe😂😂😂😂 mchuchu mbona hujatokea tena Mwenge?!
Safiiii sasa weka sura nilinge. Wajue namiliki kitu cha moto na si birika la kahawa. Kitu motooooAlter wine....nusu glass nilale
Mpaji Mungu msaidie kuangalia ili afanye challenge atupie humu 🤣Ni kinini hiko??
😂😂😂😂 chino wana man!! Uko powa?walau nafsi imetulia sasa
Kwamba camera zitatunasa? Tunazima taaaKazi kwako kuwaalika wana JF tajiri kasema hakuna mchango, kila kitu anamaliza.
Tutaoga mvinyo hiyo siku
Na ninavyojua wana JF wakilewa lazima watupatie connection la kuishi nalo![]()
😂😂😂😂Ok, sio lazima pia