mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,936
nimemiss kuona paja lako😅
nimemiss kuona paja lako😅
Nashangaa jmnTajiri yuko Chunya kukagua migodi yake nini?!!
Mwambie awahi tuko nje ya muda bday iko karibu 😂😂😂
Mapaja yangu umewahi yaona wapi?nimemiss kuona paja lako😅
😂😂😂😂Akili zako sasa 🤠!
Msamilie sana Wizzy haonekani kabesa sikuhizi!
Weee!! Subiri bday ipite kwanza na mwaka uishe ndio tuangalie km tuachane naye au tuendelee naye 😂😂😂😂Nashangaa jmn
Au nimpigie chini,tuangalie mwingine 🤣🤣
😂😂😂 nkamu huyo mtoto inatakiwa umzabue makofi hana adabuMapaja yangu umewahi yaona wapi?
Sina picha za mapaja humu.
Ni kinini hiko??napita tuu🏃🏿View attachment 2839838
Mwambie Aje anisalimie asee!😂😂😂😂
Wizzy yupo kajaa majukumu yanam keep busy!! Hata time ya kuja huku hana!!
Ngoja nikambembeleze aje akupe hi shem wake. Jana nilimpa ubuyu wa dia ex kacheka huyo 😂😂😂
toto zuriAkili zako sasa 🤠!
Msamilie sana Wizzy haonekani kabesa sikuhizi!
toto zuriAkili zako sasa 🤠!
Msamilie sana Wizzy haonekani kabesa sikuhizi!
Forever and always Chino!toto zuri
Kama haupo. Sina nguvu. Wape kadi. Hela italipwa. Asilipe mtu. Nalipia . Sema utavaaje ulipiwe na mwenzi wako woteTajiri yuko Chunya kukagua migodi yake nini?!!
Mwambie awahi tuko nje ya muda bday iko karibu![]()
dhahabu imesoma 98% pure🤣🤣Matajiri hawaachwi holiday season 🙌🙌Weee!! Subiri bday ipite kwanza na mwaka uishe ndio tuangalie km tuachane naye au tuendelee naye 😂😂😂😂
Matajiri hawaachwi kipindi iki tutakosa kwenda kula holidei ooh!! 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🙌🙌Kama haupo. Sina nguvu. Wape kadi. Hela italipwa. Asilipe mtu. Nalipia . Sema utavaaje ulipiwe na mwenzi wako wotedhahabu imesoma 98% pure
Nipe code tunavaaje bebiiiNashangaa jmn
Au nimpigie chini,tuangalie mwingine![]()
Mwambie shem . Amelipiwa na atakayetoka naye
Alooo mambo ni motoooo🤣Mwambie shem . Amelipiwa na atakayetoka naye
Mama muongozo Lamomy atakupa muongozo we tulia tu🤣Nipe code tunavaaje bebiii
Niko natafuta uzitumie.Alooo mambo ni motoooo![]()