Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Oyaaa wanpandisha midadi.....Vitu apendavyo Evelyn Salt View attachment 2839367
Sogelea mlimani City hapa tunywe my wanguOyaaa wanpandisha midadi.....
My sister Dr Lizzy ur 🔥🔥🔥🔥, sema mgeni nita kufa kwa njaa maana sioni ka msosi😆😂
😁😁☺️Nilivyoona ya tu nikajua lizz😍🔥
mie mwenzako nikinywaga nakua.....🤣🤣🤣Sogelea mlimani City hapa tunywe my wangu
Nitakubeba my 😂🤣mie mwenzako nikinywaga nakua.....🤣🤣🤣
Aisee SI ndo nita kinda nife, maana ana pika ka ugali ka mtoto huyo🤣🤒😊😊😊
Usijali ntakupeleka ukale kwa jirani!😁
Yes bruhMkuu hiyo ni mercedes?
Haya njoo ule...ila portion ni ile ile. 😁😁Aisee SI ndo nita kinda nife, maana ana pika ka ugali ka mtoto huyo🤣🤒
Nice, sema portion yangu Ina bidi izidishwe Mara 5, ili kuliNda afya ya mgeni😃😆Haya njoo ule...ila portion ni ile ile. 😁😁
Uncle ameshatengeneza kachumbari!🙂
View attachment 2839447View attachment 2839448
Sasa si tutakula mpaka cha kesho kutwa??? Njoo ukiwa umeshakula!😁Nice, sema portion yangu Ina bidi izidishwe Mara 5, ili kuliNda afya ya mgeni😃😆
Msi niseme, msi nishangae, msi nitenge, Msiniseme Kama napenda kula😃😂😆Sasa si tutakula mpaka cha kesho kutwa??? Njoo ukiwa umeshakula!😁
Kwa maana hiyo kwamba ninakojolea pazuri?Nimeona picha yake huko nyuma. Ni mzuri🔥🔥.
Ujue uzuri unazidi kuongezeka zamani sio sasaAweke mara ngapi
Na kiuno chakeNilivyoona ya ua tu nikajua lizz😍🔥
Onyesha😁Nionyeshe mfano! 😶🌫️
Hadi nimetamani wali maharage😍Haya njoo ule...ila portion ni ile ile. 😁😁
Uncle ameshatengeneza kachumbari!🙂
View attachment 2839447