Jf hatupendani hawatunuku kabisa lkn uswazi vitz tu tena namba Adah mwanangu huo uwekezaji mbona mkubwa na huku uswazi ukiwa na gari wanakushobokea wenyewe hawajui hata aina za magari.
Sema nini .pisi za jf wanatia ngumu sana kutunuku papuchi kwa mabaharia wa jf bora watoe kwa bodaboda kitaa bure
kiongozi unapicha nzuri
Za kupotezana best na mpaka umetunikiwa udaktari sasaNilitaka kulia ila bahati nzuri nimeona twende kilioni zilivyokupendeza!!![]()

Dr Lizzy you're so fine....Leo sini siku ya #throwback 🙂View attachment 2835666
Toa hilo ua madam tuone vizuri throwbackLeo sini siku ya #throwback 🙂View attachment 2835666
Dogo maliza kwanza chuo nimeshakuambia 😄Dr Lizzy you're so fine....
kumsifia mrembo nayo ni dhambi...Dogo maliza kwanza chuo nimeshakuambia 😄
Utauchanganya ubongo shauri yako 😄kumsifia mrembo nayo ni dhambi...
Aiseee, nikiweka picha hapa ntakumbwa na majanga mazito!Weka na yako basi na mimi nikuzoom niseme hiiiiiiiiiiiiii!!
Kwa kweli na especially kama hauko tayari na majanga hayo.Aiseee, nikiweka picha hapa ntakumbwa na majanga mazito!
Weeee...sidanganyiki!!😁😁Toa hilo ua madam tuone vizuri throwback
☺️kumsifia mrembo nayo ni dhambi...
Hivi viatu imekaa kigangaganga 😂
Atakuwa ni Demis bila shaka 😅Ni nani huyu? Nimepost kwa niaba kwa ruhusaView attachment 2817266
Sent using Jamii Forums mobile app