Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan watu wa offline wote umewaona?.
Hata wa online wote sijawaona lkn haibadili dhana πŸ§”yaan Kuna Moja nimeona lips tu mpaka saiv zinazunguka kichwani🀣nkifunga macho naziona zileeeeeeeee
 
Jombaaa wenzako tunachukua za kukodi unalipa kwa wiki unamega tunda muhimu uwe na show money ya kumtingishia. Baadae unarudi kwenye SunLoG
dah mwanangu huo uwekezaji mbona mkubwa na huku uswazi ukiwa na gari wanakushobokea wenyewe hawajui hata aina za magari.

Sema nini .pisi za jf wanatia ngumu sana kutunuku papuchi kwa mabaharia wa jf bora watoe kwa bodaboda kitaa bure
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…