Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

🀣🀣🀣 umeanza!!!
Em potezea, tuendelee na mengineyo
Sawa ila kaka yako nilikuwa mtata kwa vile vijukuu vyenye ngozi za ajabu ajabu hapo Moro town🀣.


Weka hata ukucha uibariki siku yetu JF maana hizi siku 3 siko sawa kiakili na mwili.
 
Halafu Lamomy, Mambo Club ilikuwa ya SabaSita baba yake Tunda au ulikuwa uzushi tu, huko ndiko nilikomuona Majizo kwa mara ya kwanza, akijiita DJ. Majizo for Shizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata sijui km yake, me nilikuwa nawaza kwenda kuruka kwanja tyuuu!!! 🀣🀣🀣
Na ze club sijui hata km zipo ss hivi!!
 
Sawa ila kaka yako nilikuwa mtata kwa vile vijukuu vya ngozi za ajabu ajabu hapo Moro town🀣.


Weka hata ukucha uibariki siku yetu JF maana hizi siku 3 siko sawa kiakili na mwili.
Wewe ulikuwa wa sabasaba au chamwino ndio vijana watukutu mlikuwa mnatokea kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwenzio nilikuwa napatana nao kweli gabacholi
 
Hhhah umenichekesha sana.

ujue mimi nilikuwa nakaa hostel za nje, La miri.. πŸ˜‚ hope umezijua. Hosteli zilikuwa na masista duu zile visket juu ya goti πŸ˜‚
Ila watoto wa Patel tulikuwa na hekaheka na tulikuwa tunajiona mastar wenyewe 🀣🀣🀣
Hujamiss vijana social
 
Wewe ulikuwa wa sabasaba au chamwino ndio vijana watukutu mlikuwa mnatokea kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwenzio nilikuwa napatana nao kweli gabacholi
Nilikuwa naishi kigurunyembe

Utata ulikuwa wa mambo mengi,ulikuwa na wifi yako pale mwenye ngozi yao na mimi nilikuwa jeuri,kutaka kujionyesha pesa iko kama mkinga lamomy🀣.
Tuishie hapo

Weka picha kwanza nisafishe macho maana niko porini nimekuja kushangaa maliasili za Tanzania
 
Ila watoto wa Patel tulikuwa na hekaheka na tulikuwa tunajiona mastar wenyewe 🀣🀣🀣
Hujamiss vijana social
Vijana social kuna shost angu ana historia napo hawezi pasahau.

Kuna siku tumeenda mpirani kigurunyembe tukafungwa vibaya, punde si punde nikasikia watoto wa Patel wanaimba ada zenu, viatu vyetu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa maana Ada ya kigurunyembe ni bei ya kiatu ya watoto ww Patel, utoto raha, walioshiriki kuimba ule wimbo kama kwa sasa ni jobless wakatubu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nitakuwa nakufahamu shenzy zako!!
Me nilikuwa na kamoja kanaitwa Y sema sijawahi kufanya naye mchezo mbaya ni ile ya kinjuka njuka!! Sema maokoto ndio nilikua namchangamsha mwenzangu 🀣🀣🀣

Nitume picha ili ukamilishe upelelezi wako Thubutuuu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo mechi nahisi nilikuwepo nitajie mwaka, unajua me kwenye michezo nilikuwa muhamasishaji wa kuzomea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
PM utaikuta picha yako🀣..ila binti kiziwi ndio kabisa sina mashaka naye,100% macho yangu hayajakosea alipoweka photo japo alificha uso.
Me huwezi kunijua ng’o πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza kwann umefuta ile comment we mgombania mademu wa kigabachori kwa kutishia wenzio silaha?!!

Kweli sikuliwa bhana me nilikuwa muoga na michezo mibaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…