Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Oohh okay nitaweka.
Nimecheka sana mbona unajiadhibu mwenyewe? Amefanya nini kama hautojali?
Aliweka picha ya maeneo akauliza nani yupo karibu nikaona yes fursa. Alinikatalia maombi yangu akasema kutembea na mimi ni sawa na kushuka cheo kmmk. Nilichokosea nilienda na Toyota Raum na yeye akaja na Mercedes C class (ya bwana wake). Ila simchukii ni mtu poa sana.
 
Anaonekana Expensive kwa kuangalia picha.
Napenda sana mwanamke akijua anahitaji nini na anataka nini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…