Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Nimekuona balaa lako huku notification km zote za likes
Hebu tupia foto bas mdogoangu mzuri zuri [emoji12]

Subiri subir ile mida ya wanga[emoji3] nikitupia saiv wote mtakimbia mniachie uzi maan si kwa sura ya hii ya babu mzaa baba na mwili wa shangazi[emoji38] yaan tipwa tipwa
 
Maokoto ya nyokoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Labda akakupe kifurushi cha asubuhi km alivyosema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu muachee dume km Dume tena OG, kienyeji halisi kutoka Mwandinga.
 
Subiri subir ile mida ya wanga[emoji3] nikitupia saiv wote mtakimbia mniachie uzi maan si kwa sura ya hii ya babu mzaa baba na mwili wa shangazi[emoji38] yaan tipwa tipwa
Wee Thubutuuuuu 😂😂😂
JF wanawake wote warembo km walivyo wanaume humu wote wana pesa na wanaishi USA na UK 😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom