Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Wewe mpe tutajua sisi jinsi ya kupeana 😜
Hakikisha mzigo wa kueleweka sasa!!
Sindano ulizomdunga zimeanza kuleta matokeo mapema mbona?!!! 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣
 
Sawa,ila nikionana naye nitajitahidi uwe mzigo wa kueleweka ila kiasi hakitoshinda chake🤣.

Kuhusu sindano achana na nazo maana ni dhambi kwako kuvutia hisia kitu ya kaka na wifi yako🤣
 
Fanya chap 😋😋😋
Mi nilikua nakazia tyuu bro wala siwez kuvutia hisia 😂😂😂
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…