Nilimka kusali usiku bhana πππWewe mbona umemuacha. Country kitandani na baridi hiiπππ
We sema ulikiamkia banaaNilimka kusali usiku bhana πππ
Mama mchungaji kazini! Kweli roho wa bwana anena naweβΊοΈ!Nilimka kusali usiku bhana πππ
Boss lady hii umekata sana!Chat na picha
Tuko poah!! Za toka jana?
Kamera tu mkuu hata sina shepu!Boss lady hii umekata sana!
Nimemiss lile shepu lako hebu shusha kamera chicken chini kidogo!
Kamera wapi Kwani wengine hawana kamera?!Kamera tu mkuu hata sina shepu!
Charles kilian hata hivi unashindwa kweli
Unaombewa mabaya ila hujatuambia je ni kweli unamiliki usimzibie rizikiUsisahau kutoa sadaka kwenye maombi yakoπ
Hapana sio kweli mkuu! Hiki ki tecno mi hata sikielewi kinanitoa mwili sio wangu π€Kamera wapi Kwani wengine hawana kamera?!
Umebarikiwa mama!
Matajiri weee mbona sijawaona jamaniTuko poah!! Za toka jana?
Jana mlikiwasha sana na mafoto foto
Pm ziliita sana, matajiri walisumbua. πππ
π€£π€£Charles kilian hata hivi unashindwa kweli