Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Tulingishieni picha wapendwa wambea tuone wivuπŸ™‡πŸΏ
Wambea tuone wivu 😁😁😁🀣🀣🀣!

Tanzania tushafungwa moja huko wacha nirare tu naona kabisaaaa tunaongezewa jingine πŸ˜‚πŸ’€πŸ˜΄πŸ’€πŸ’€πŸ’€πŸ˜΄
 
Mshana huyu tunayemfahamu?[emoji28]
 
Hivi, Mshana Jr ,saa moja kasolo, na mada hii,alilala wapi? Na nani? Wakifanya nini? Ili iweje? Badae kitatokea nini? Wazazi wa alielala nae wanajua mtoto wao alikuwa wapi....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…