Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,186
- 10,486
Asiogope. Hakuna mketa mgumu mbele ya chaiTayana-wog fungua pm
Simu ziite sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asiogope. Hakuna mketa mgumu mbele ya chaiTayana-wog fungua pm
Simu ziite sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ee bhana sio kufungua tu, reply back muhimuTayana-wog fungua pm
Simu ziite sasa 😂😂😂😂
😂😂😂 ujue mimi sio mrefu sana wifiThubutuuuu!!! Wewe tupia zako miss twiga 😍😍😍😍
Mke wa kaka uliyekamilika idara zote
Tayana-wog hizi pesa unazitaka au huzitaki? Mbona unamsumbua boss hivi?!!Au tuna namba ya kuweka hela basi chap
Kwani Tayana-wog una shida gani?Asiogope. Hakuna mketa mgumu mbele ya chai
Wee mrefu nimekuona mara nyingi 🤣🤣😂😂😂 ujue mimi sio mrefu sana wifi
Hahahahaha,mengine hayauliziki hapaHaya mkuu, nilikua nakutania, ila si uulize hapa hapa tu😀
😂😂😂😂Nakuona mhasibu wake
😂😂😂 sema kweli?Wee mrefu nimekuona mara nyingi 🤣🤣
Pindua meza. Wengine hata kuongea hatuweziTayana-wog hizi pesa unazitaka au huzitaki? Mbona unamsumbua boss hivi?!!
Mi ninakoelekea nitaongea kwa vitendo!! Ntakuchapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wifi weka pic nasubiri hapa 😍😍😍😂😂😂 sema kweli?
[emoji16][emoji16][emoji16] au walishampiga tukio?Kwani Tayana-wog una shida gani?
Mbona unapiga teke fuko la pesa?!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 Boss kuwa mvumilivu anakuja!!Pindua meza. Wengine hata kuongea hatuwezi
Aisee. Ila ya kale dhahabu. Huenda yeye bando wakusoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Boss kuwa mvumilivu anakuja!!
Mimi nimezeeka napinduaje meza??
Nisingekatazwa ningekuangalia ila sasa [emoji114][emoji114][emoji41]View attachment 2820790Hiyo ya mwisho Wifi yangu[emoji2088]
Nani tenaaaaaa?.Mama Jr leo unatukomesha 😍😍😍
Hips live Sir Midabwada boss unapitwa huku!!
Naomba endelea kufanya kazi kwa bidii 🤣🤣🤣