Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,174
- 10,445
Amekuzunguka kwani?

atakupa mahesabu tulia hana roho mbaya
Amekuzunguka kwani?

atakupa mahesabu tulia hana roho mbayaMimi nasubiri yako, ulisema utaongeza😂Tupia nyingine bana nipo hapa nasubiri 😘😘
Haya mkuu, nilikua nakutania, ila si uulize hapa hapa tu😀Hahahahaha,kuuliza uliza tu
Pamoja na kazi nyingi ngoja usogee crdb wakala natuma kodi ndani dk 4. Sema hujasema sh?Usiogope
Anything can can happen at any time![]()
Tayana-wog njoo hapa 😂😂😂Amekuzunguka kwani?atakupa mahesabu tulia hana roho mbaya
Eti katibu unasrmaje Lamomy 😅Pamoja na kazi nyingi ngoja usogee crdb wakala natuma kodi ndani dk 4. Sema hujasema sh?
Ngoja nipitie km nitaona 😂😂😂Mimi nasubiri yako, ulisema utaongeza😂
🤣🤣🤣🤣Tayana-wog njoo hapa 😂😂😂
Kabla jogoo hajawika ushanikana Mara 3
Mwambie asiende ile location . Naona kama yuko on move.
Hebu ongeza, akija Country hapa basi tena😂Ngoja nipitie km nitaona 😂😂😂
Kwahiyo code ya kumpa wakala niweke hapa public ina digits 6
Boss maneno mengi sio sifa yakoMwambie asiende ile location . Naona kama yuko on move.
Hiyo yenyewe nimejitahidi akija lazima kinuke 🤣🤣🤣🤣🤣Hebu ongeza, akija Country hapa basi tena😂
Nakuona mhasibu wakeMpe namba aweke laki kwanza ya bocha tujue anamaanisha!!![]()
😂😂😂 namuelewa sana.Hiyo yenyewe nimejitahidi akija lazima kinuke 🤣🤣🤣🤣🤣
Au tuna namba ya kuweka hela basi chapBoss maneno mengi sio sifa yako
TUMA PESA kwanza![]()
Tayana-wog fungua pmKwahiyo code ya kumpa wakala niweke hapa public ina digits 6
Thubutuuuu!!! Wewe tupia zako miss twiga 😍😍😍😍😂😂😂 namuelewa sana.
Hebu tupia ya mwisho