Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,248
- 42,075
Hahaha watu watatufungulia Uziπ€£Watajua hao watu wanatoa pesa!!
Ila sie tutawaponza watu na masihara yetu πππ
Shooo km shooo boss lady2023 February Zulu man
Ebhanaeeeee duh japo sijaitwa π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯πππππ
Kuna watu nimewapa chai kwenye uzi mmoja, wote wananisumbua niwape hiyo connection nakufa kucheka ππππHahaha watu watatufungulia Uziπ€£
Wnaona tunafaidi
Ila weweKuna watu nimewapa chai kwenye uzi mmoja, wote wananisumbua niwape hiyo connection nakufa kucheka ππππ
Kutoa "like" pekee umeona leo haitoshiπ€£Ebhanaeeeee duh japo sijaitwa π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯πππππ
Sema bidada inaonekana mtu akizingua unatandika makonzi ebhanaeeeee doooh π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯2023 February Zulu man
Na mimi naitaka ile chai ila nimeuchuna tuπKuna watu nimewapa chai kwenye uzi mmoja, wote wananisumbua niwape hiyo connection nakufa kucheka ππππ
Hakujui huyo eehπ€£Unanichukulia poa eeh!!???
Nivile Kamera yangu imeharibika tu!πΆπ»ββοΈ
Wa kuhusu WhatsApp Gb π€£π€£π€£Ila wewe
Uzi gani huo niendeπ€£π€£π€£
Umenishinda tabiaπ€£πππWa kuhusu WhatsApp Gb π€£π€£π€£
Yani Piem Ingekuwa wazi ningejuta
Ulikuwa unazuga π€£π€£π€£Na mimi naitaka ile chai ila nimeuchuna tuπ
SecondedAtume pesa tuagize wenyewe bhana!!
Akileta vikitubana? Si unajua size za viatu hazieleweki utashangaa normal cut au big cut!!! Yeye atoe mpunga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asubilie pic boot ikiwa imevaliwa
π€£ niko nafanya tafiti ya watu wa kufika kwenye harusi yanguHakujui huyo eehπ€£
Nasubiri pic yako ya leo hapa πππSema bidada inaonekana mtu akizingua unatandika makonzi ebhanaeeeee doooh π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Ahsante,sitaki laana ya vitu za wamama wa watu wangu wa karibuπ€£Ulikuwa unazuga π€£π€£π€£
Ninayo kweli connection ooh!!
Sema utumiwe
Halafu kumbe jirani upo humu Jf na husemi? Kumbe hii ndio ID yako eeh?Unanichukulia poa eeh mfyuuu!!
Today 21/11/2023