Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

But ametaka kiatu
Kasema wanaume mje mninunulie kiatu, yani mumpe pesa ya kiatu!!
Sio mkanunue mumtumie!
Afu mbona CAPTO hiyo pesa unaanza utata?! Me nakuonaga mzungu hizo mambo kwako ndogo sana!! Hebu mwambie Tayana akupe account umuingizie mpunga huoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Napotea
Yaani nishakua taoeli jmn🀣🀣
Unajifanyaga una mambo mengi wewe ukishapokea kibunda!!! Mara niko Mwanza kwenye kongamano simu haziruhusiwi!!
Kwa Kantry nisingekaza mpk leo msingenipa zile pesa za mgao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa CAPTO atume afu ole wako uanze kusema tuko kwenye maombi ya mwezi Dodoma ntakufata uko uko 🀣🀣🀣🀣
 

Oooh she wanted money? Oooh sorry can’t do that, cause i am broke
 
Unanichukulia poa eeh!!???
Nivile Kamera yangu imeharibika tu!πŸšΆπŸ»β€β™€οΈ
Udugu nilivyoona ile pic yako nikajua ndio umetoka kumkamata ankol maba 🀣🀣🀣
 
Udugu nilivyoona ile pic yako nikajua ndio umetoka kumkamata ankol maba 🀣🀣🀣
😁😁😁😁😁😁😁 Ngoja badae nikuwekee ya kikamanda niloweka poziπŸ˜‚
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…