CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Navaa na natembelea vzr kabisa.
Btw,mi sio mpenzi wa flat shoe,ila hakuna namna Kuna mazingira lzm nivae
Lkn mitoko, church,event Niko na kiatu changu kirefu kabisa , very comfortable
Sanaaaaππππ Jiachie
Hata Mungu anapenda watu wasafi wa mwili na kiroho
Wameshashindwa wanakaribia kulegeaDuh kitamboπ€£π€£
Haya wale mnaochukuaga picha humu na kutunga hadithi chukueniπ€£
LamomyI will ship em to my place then Nikirudi Iβll deliver em to ya
Kwakweli πWameshashindwa wanakaribia kulegea
π₯°π₯°π₯°
Wtf..!Picha ya siku!!
[emoji99][emoji99][emoji99][emoji99]View attachment 2820383
Selfika mama mchungaji ππSanaaaaπ
Ngoja niselfike kizamani zamani ,π€£
Atume pesa tuagize wenyewe bhana!!
We bhana CAPTO Acha maneno mengi!!I will ship em to my place then Nikirudi Iβll deliver em to ya
Nalo nenooooπ€£Atume pesa tuagize wenyewe bhana!!
Akileta vikitubana? Si unajua size za viatu hazieleweki utashangaa normal cut au big cut!!! Yeye atoe mpunga π€£π€£π€£π€£
Asubirie pic boot ikiwa imevaliwa
We bhana CAPTO Acha maneno mengi!!
Tuma kibunda akanunue mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Size ikiwa ndogo au kubwa je?!
π Nakuaminia bebe Kwa kusimamia showWe bhana CAPTO Acha maneno mengi!!
Tuma kibunda akanunue mwenyewe π€£π€£π€£
Size ikiwa ndogo au kubwa je?!
πππ Hapo naona analeta story za Abunuwasi tyuu!!
Iam quite fine, hope everything is going well on your side dudeπͺBrother niaje
Jeans ya kuvalia hiyo boot au sioπππ Hapo naona analeta story za Abunuwasi tyuu!!
Eti akununulie mwenyewe kisha akutumie!!!
Mwambie akupe kibunda utanunua mwenyewe. Kule dukani utaomba na discount tuchenchi tukibaki unanunua na kichambuu jeans au sio?!!
Tutakuwa tunapoteza muda!Refund or exchange
πππ Mjini mipangoJeans ya kuvalia hiyo boot au sio
Yaani una akili sn
π€£Una kitu utafika mbali