Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Hapo sawa haya pandisha camera kwa juu kuna kitu nataka nione πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wifi Ms eyes njoo au kaka kakuchosha??
🀣🀣🀣 unataka uone nini wewe mtoto.

Ila weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, nimeelewa
 
Holaaa
Naomba ninunuliwe na mwanaume boot ya hivi🀣
Lamomy Antonnia Joannah hebu waiteni wanaume hapa
Hiyo boot mama mchungaji wewe ya nini lkn? Mbona unatuchanganya wanakondoo?!

Haya ngoja nikuitie mista Tlaatlaah huyu hana longolongo ana pesa nyingi afu ni baba mchungaji.
Mnaweza mkayajenga pia!! πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haloooo
Kwamba sbb ma mchungaji ndo nivae sketi ya marinda na skuna πŸ˜³πŸ˜”mbona hunipendi jmn....🀣

Mpendwa hizi ndo code zangu japo navaa na trousers πŸ˜…πŸ˜…
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…