Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,305
- 3,218
Kaka mdogo hutaki mambo mengi unapita naked πππlikizo time
View attachment 2819760
Nategemea pendekezo la sehemu nzuri zaidi toka kwakoBadilisha mwaya msije kukatishiwa siku yenu maalumu na wanga wa JF ππππ
Mbona hukunistua nikupe credit legend?Mbona mimi siogopi hao wanga, juzi nilitupia suti π€£
rafiki angu sanga sijui sikuhizi yupo wapi aje anisaidie.Unaumia na nini Chino? π
Limeisha hilo ni piem niwape sehemu nzuri ya kupumzika na Ms macho π€£π€£π€£Nategemea pendekezo la sehemu nzuri zaidi toka kwako
Sanga alihamia South mtafute Tweve au Msigwa π€£π€£π€£rafiki angu sanga sijui sikuhizi yupo wapi aje anisaidie.
That's my fvkn Genius wifi mtuπͺ!!πLimeisha hilo ni piem niwape sehemu nzuri ya kupumzika na Ms macho π€£π€£π€£
Fanya hivo hapo kwenye money π°ππThat's my fvkn Genius wifi mtuπͺ!!π
Hata ahsante π°nitaitoa kwa furaha na moyo mkunjufu.
maninah hahahahaFanya hivo hapo kwenye money π°ππ
Mchuchu kwanza nipe pesa ulizoniambia utanipa πππmaninah hahahaha
Mama mchungaji kuna usalama kweli hapa? ππππ
Nitamkabidhi zawadi yako so mtafahamu mnapeana vipi huko nyie wenyewe.Fanya hivo hapo kwenye money π°ππ
dah hapa tu ndo chino huwa najikoseshaga mapoint ya kutoshaMchuchu kwanza nipe pesa ulizoniambia utanipa πππ
Missed you a lot πNipo mpendwaππ
Tupia mpendwa ya kujidaiπMissed you a lot π
Dah Ume nikumbusha, I missed kuona unyweleππππ€Tupia mpendwa ya kujidaiπ