Umesoma vitabu gani mwaka 2016?

Mkuu kuna kitabu kinaitwa "Siri za maisha" kimeandikwa na Emmanuel Mbogo kiko vizuri sana kinaeleza namna mtanzania anavyoweza kuachana na utegemezi wa ajira kisha namna ya kujiajiri.Kiko vizuri sana nilikisoma mwaka jana .Jaribu kukisoma utakipenda.Kuna mbinu nyingi za kufanikiwa.

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza safi kwa kujiongezea ufahamu wa mambo . Vp hivyo vitabu vyako umenunua wap
 
Asante kwa vitabu naomba unisadie nawezaje kuvipata mim napenda kusoma sana vitabu tatizo ni jinsi gan ya kuvipata hivyo vitabu. Nisadie maduka mazur ninunue
 
Mkuu tunaomba wengine hatujui kwa kupata hivyo vitabu maduka gan mazur naweza nunua vitabu hivyo kiufup napenda zaid kusoma vitabu . nilivyosoma naona bado nahitaji zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…