Umesoma vitabu gani mwaka 2016?

When it comes to last year's 'read', I wish I could ask for my money back from the YR 2016.
Just a few.

Hard Choices. Hillary R. Clinton.
Memoir ya Hillary C. Katika miaka 4 aliyokuwa Sec.of State. Maamuzi aliyofanya na ugumu wake wakati vita vilikuwa vinaendelea in the middle E. na jinsi hali uchumi wa dunia kwa ujumla ilivyokuwa in crisis, Democrats walivyoshinda WH 2008. It's fascinating. (I'll revisit)

Game Change. (John H and Mark H)
Shughuli iliyokuwa inaendelea behind the scenes, kati ya Obama&the Clintons, McCain&Palin, wakati wa campaign za uchaguzi 2008.

Eat, Love Pray. Elizabeth Gilbert.
A woman's soul serching in Italy, India, Indonesia.

A Girl's Guide to Moving On. (Debbie Macomber)
This's self explanatory. πŸ™‚

French Women Don't Get Fat. Mireille Guiliano.
A non diet book with recipes. Kuhusu French Women, utayarishaji wa vyakula vyao and how they enjoy their food while staying slim and healthy. For foodie(s) and those interested in eating, drinking and a lifestyle of French women, It's one of the best bet.
My fav. πŸ™‚
 
Kaka ni wapi nitakipata kitabu hicho N0.4???????
 

Kuna vitabu fulani vinaitwa
"Whatever Happened to Interracial Love"
" The Girl with the lower back tattoo"
 
Reactions: kui
Vitabu nilivyosoma mwaka huu ni Vitabu vinne nilisoma audicity of hope ya Obama baada ya kuona anaondoka madarakani ,Nilisoma pia situation iliyokuwa ikikabiri nchi yetu kwenye swala la uchumi nilisoma why nation fail,na katika kuangalia financially nilisoma Power of positive thinking, but mwisho kabisa nilisoma power of playing parent....

.
 
Mkuu Red Giant nimeupdate list ya vitabu nilivyopitia japo vingi sijaviweka maana nilipitia nusunusu
 
Mkuu mwaka huu nimesoma vitabu vichache sana kuliko miaka yote. Nilibanwa na shule na michakato ya kimaisha hats hivyo baadhi ya vitabu vilivyokuwa kwenye uzi wa mwaka jana nilivisoma.

Mwaka huu nimejipanga Mungu akisaidia nisome vitabu 52 kila week kitabu kimoja.
 
Wewe ni msabato au unataka kufungua kliniki kama ya Ndodi?
 
Wewe ni msabato au unataka kufungua kliniki kama ya Ndodi?
Kuna baadhi ya vitabu wanapitisha office kuviuza wasabato na aliyenunua hivyo vitabu ni mkatolika. Kwa upande wangu Mama ni mkatolika na Baba msabato.
 
hicho cha mwisho umewapatia atoto, na Heaven Sent ? au bado kisukuma kinawapiga chengaπŸ˜€
 
kila la heri mkuu. kuna vitabu ukianza kusoma hutamani kuacha. kimoja kwa wiki inawezekana kabisa.
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…