Jaribu kuona vyuo vikuu vya hapa TZ,vinavyotambuliwa duniani,
Mi sijuhi wanatumia criteria gani kukitambua chuo,maana vingine hata wanafunzi wa intake ya kwanza hawajamaliza....
Kama kichwa cha habari kinavyosema katika hiyo link uliyotoa, hii ni "data-base" tu. Yaani orodha. Kama kuna chuo unachokijua Tanzania na kimeandikishwa kisheria na TCU, basi ningekushauri uwasiliane na waratibu wa mtandao huo uwaeleze
Maumivu ya tumbo huanza taratibu! Kama una shaka na uliposoma beba vyeti nenda tcu wakahakiki mkuu. Pia wao ndio wanaopaswa kukwambia kama chuo chako kinatambulika au la,at least kwa hapa home.