Umesoma chuo kikuu gani? Kama hakipo hapa umeliwa!

Kama kichwa cha habari kinavyosema katika hiyo link uliyotoa, hii ni "data-base" tu. Yaani orodha. Kama kuna chuo unachokijua Tanzania na kimeandikishwa kisheria na TCU, basi ningekushauri uwasiliane na waratibu wa mtandao huo uwaeleze
 
Maumivu ya tumbo huanza taratibu! Kama una shaka na uliposoma beba vyeti nenda tcu wakahakiki mkuu. Pia wao ndio wanaopaswa kukwambia kama chuo chako kinatambulika au la,at least kwa hapa home.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema katika hiyo link uliyotoa, hii ni "data-base" tu. Yaani orodha. Kama kuna chuo unachokijua Tanzania na kimeandikishwa kisheria na TCU, basi ningekushauri uwasiliane na waratibu wa mtandao huo uwaeleze

Hahaaa Haaaa! Jamani mwezetu anashaka na hili wimbi la degree fake..........
 
Tafuta chuo ujiunge kaka, hujachelewa. Ila tu jiunge kwenye kinachotambuliwa na TCU.
Wakati uliokubalika ndio sasa!!

nimejaribu kuwasemea wadau tu ndugu. Chuo nilichopitia is the best in the country-the Hill
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom