Umeshawahi kuzuga watu kwa mtindo huu?

Umeshawahi kuzuga watu kwa mtindo huu?

yaani kuna uzugaji wa aina nyingi
ila wa kupotea hasa kama ni madukani
najidai kuuliza kitu ambacho najua hakipo

duka la vyombo nauliza ticeti za meli.

Hahahaha!kwa post hii cna nimeshiba automatic!kumbe hata cku ile jamaa alizuga salon ya kike kuulizia panadol!
 
Kuna siku nilikuwa na drive najifanya kupita short cut niende sehemu kumbe mbele njia hamna, jamaa wakawa wananiangalia wamekaa kijiweni. Nikafika mbele njia imeisha nikageuza kwenye geti la watu nikatoa simu nikaweka sikioni kana kwamba mwenyeji wangu ndio ananielekeza nikarudi nyuma motooo!!
 
Duh, hii imenikuta jana tu. Nilikuwa ninataka kuingia duka la vinywaji,kushitukia nimo ndani ya duka la vitu vya nyumbani. Mwenye duka akahisi "hapa nimepata mteja". Nikauliza kama anauza "laptops".Sijui alitambua nimechemsha, kwani alinijibu huku anacheka kunifahamisha wapi nitapata nikitakacho.
 
dah jamaa mjanja sana,bila hivo wangemshushia cossovo

Dah yani bila vile lazma wangemyuka vibaya sana, siku hizi jamaa yupo kitengo anatoa shavu tuu nkimbushiaga hana mbavu. Siku moja atakuja kuwahadithia wanawe
 
yaani ni usanii tupu.
Au unamuulizia mahmood yule ambaye anavaa suruali.
Unatoa maelezo ambayo hata daktari wa vichaa hayaelewi.
Hahahaha!kwa post hii cna nimeshiba automatic!kumbe hata cku ile jamaa alizuga salon ya kike kuulizia panadol!
 
Binafsi majuzijuzi imenikuta mara 2 hii hali... Namwita mtu tena kwa nguvu kabisa kugeuka kumbe siye.. First tym nkazuga kumuoneshea mwingine wa mbele na sio yeye, ila hii ya pili ilibidi niwe mpole nkamtaka radhi jamaa kuwa nimekosea.. Ambacho nimegundua ukikutwa na hali ya kuchanganya habari akili hufanya kazi zaidi ya mara mbili tena mbinu zinakuwa kibaooo cjui ni adrenaline inafanyaga mambo yake daaah
hahahahaha mbavu zangu
 
Kuna siku nilikuwa na drive najifanya kupita short cut niende sehemu kumbe mbele njia hamna, jamaa wakawa wananiangalia wamekaa kijiweni. Nikafika mbele njia imeisha nikageuza kwenye geti la watu nikatoa simu nikaweka sikioni kana kwamba mwenyeji wangu ndio ananielekeza nikarudi nyuma motooo!!
hahahaha halafu ungewasalimia hao jamaa wangekuambia bila kuwauliza,tatizo uliwapita bila salamu
 
Dah yani bila vile lazma wangemyuka vibaya sana, siku hizi jamaa yupo kitengo anatoa shavu tuu nkimbushiaga hana mbavu. Siku moja atakuja kuwahadithia wanawe
ktk maisha kuwa mjanja ni mhimu sana,halafu pia ni vizuri kuwa creative,ukiwa creative huwezi umbuka
 
Duh, hii imenikuta jana tu. Nilikuwa ninataka kuingia duka la vinywaji,kushitukia nimo ndani ya duka la vitu vya nyumbani. Mwenye duka akahisi "hapa nimepata mteja". Nikauliza kama anauza "laptops".Sijui alitambua nimechemsha, kwani alinijibu huku anacheka kunifahamisha wapi nitapata nikitakacho.
atakuwa amekugundua
 
atakuwa amekugundua
Im afraid he did!
Lakini kwa nini tunapochemsha tunazuga badala ya kisema ukweli.
Hapo usikute mtu "ka.ja.mba" au kakata kipandei cha kohozi hadharani uone atavyojibabaisha na kuijitia hamnazo.
 
tunazunga ili tusijulikane na tusionekana tumechemka,ila kinachotakiwa ni kuwa makini usigundulike.....ila kama KU...JA...M....BA.....yaani ni kama bahati mbaya vile
 
yaani ni usanii tupu.
Au unamuulizia mahmood yule ambaye anavaa suruali.
Unatoa maelezo ambayo hata daktari wa vichaa hayaelewi.

Ha ha ha....Umeua hapo....Jamaa anaweza kusema acha kuzungu jamaa...
 
Binafsi majuzijuzi imenikuta mara 2 hii hali... Namwita mtu tena kwa nguvu kabisa kugeuka kumbe siye.. First tym nkazuga kumuoneshea mwingine wa mbele na sio yeye, ila hii ya pili ilibidi niwe mpole nkamtaka radhi jamaa kuwa nimekosea.. Ambacho nimegundua ukikutwa na hali ya kuchanganya habari akili hufanya kazi zaidi ya mara mbili tena mbinu zinakuwa kibaooo cjui ni adrenaline inafanyaga mambo yake daaah

Hii ya kufananisha mtu ndiyo hutokea sana,
hua tunaimaliza kivihi :-
" Aisey sorry sura nakujua ila sikumbuki tulikutana wapi !
Arusha, Dar , Mwanza ?
Akikujibu kote huku hajafika , unampa excuse nimekufananisha.
Akikujibu Arusha story inaendelea !
 
Mimi kuna jamaa yangu alikua anamchungulia demu chooni mara jamaa yake demu akatokea na akamshtua VIPI UNATAKA NN?!! mshkaji kwa kutaka kuzuga akasema ''NAULIZIA VOCHA ZIPO?!!''
 
Hii ya kufananisha mtu ndiyo hutokea sana,
hua tunaimaliza kivihi :-
" Aisey sorry sura nakujua ila sikumbuki tulikutana wapi !
Arusha, Dar , Mwanza ?
Akikujibu kote huku hajafika , unampa excuse nimekufananisha.
Akikujibu Arusha story inaendelea !
Mimi yuko jamaa alinifananisha na mtu tunayefanana sana, hivyo nikaendeleza naye stori mpaka ikafika pahali niseme ukweli kuwa sio mimi.
Sehemu ya mazungumzo yalikuwa hivi:
Yeye: Kwa hivyo ahadi yetu ya J3 ipo.
Mimi: J3?
Yeye: Si jana nilikupigia nikakuambia itabidi tuende J3?
Mimi: Mbona sikumbuki?
Yeye: Kwa hivyo hujawapigia studio kuwaambia kesho tunaenda kurekodi?
Kufika hapa nikaona yamekuwa makubwa, lakini kwa kuwa anayemzungumza ninafahamiana naye na tulikutana si muda mrefu, nikamwambia ukweli kuwa sio mimi, lakini huyo anayemzungumza atafika pale si muda mrefu.
 
Back
Top Bottom