Umeshawahi kuzuga watu kwa mtindo huu?

Mimi yuko jamaa alinifananisha na mtu tunayefanana sana, hivyo nikaendeleza naye stori mpaka ikafika pahali niseme ukweli kuwa sio mimi.
Sehemu ya mazungumzo yalikuwa hivi:
Yeye: Kwa hivyo ahadi yetu ya J3 ipo.
Mimi: J3?
Yeye: Si jana nilikupigia nikakuambia itabidi tuende J3?
Mimi: Mbona sikumbuki?
Yeye: Kwa hivyo hujawapigia studio kuwaambia kesho tunaenda kurekodi?
Kufika hapa nikaona yamekuwa makubwa, lakini kwa kuwa anayemzungumza ninafahamiana naye na tulikutana si muda mrefu, nikamwambia ukweli kuwa sio mimi, lakini huyo anayemzungumza atafika pale si muda mrefu.
hehehehe ungenifanyia hivo mimi ningejisikia vibaya sana,mana utakuwa umeshafahamu siri zangu
 
Hahhah!dah hii thread noma japo kuna zuga watu wanazuga kama hawajawahi kuzuga!!!!!mfano kujamba baada ya watu kusikia sauti unazuga kwa mdomo pa!pa!tiii!ntuuuu!bruuuuuu....!psssssssss!!au kama umekalia stool unaiburuza ijulikane mlio wa kijambo ni hiyo stool!!!
 
hahahahahaha nimependeza hiyo ya kuburuza stuli ila tatizo harufu utazuiaje
 
Mimi huwa nazuga kwa kujifanya kama nimepokea message kutoka kwenye simu ya dharura ya kunitaka nirudi haraka
 
hahaha. . .i like this thread! Naitumiaga hii mbinu sana. Kuna hii nyingine kwa wale watu wa ofisini, bosi akipita kama umefungua facebook au youtube unazuga kwa kuminimize au unajifanya uko serious kwenye sceen.kumbe upande wa pili uko fb au youtube
 
hehehe hiyo ya kufananisha mbaya sana aisee, kuna jamaa nilimfananisha sasa nikaona nikafanye kumtania kama namchomoa wallet ivi, kugeuka kumbe njemba siyo, alinitembezea kibano na ilibidi niuchune tu ili asininadie mwizi. Nashkuru kulikuwa hakuna mgomo wa ma dokta enzi zile.
 
hehehehehe nadhani ulimbembeleza sana
 
hahaha. . .i like this thread! Naitumiaga hii mbinu sana. Kuna hii nyingine kwa wale watu wa ofisini, bosi akipita kama umefungua facebook au youtube unazuga kwa kuminimize au unajifanya uko serious kwenye sceen.kumbe upande wa pili uko fb au youtube
hiyo ya kubrowse halafu upo ofisi ni noma,ina mana baadaye boss hawezi akaangalia history ya browsing ulizofanya?
 
Mnakifahamu Kipindi kinaitwa NASWA cha citizen j2,kunawashkaji wanajua kuzuga balaa!
 
dah kuna siku nili wrong number bahati mzuri akawa ni mdada. Nikamtaka radhi, salaam nk. Kama zali tukawa marafiki na kuendelea kuwasiliana siku hadi siku. Nilimpendea sana sauti yake after 1 month hv ya mawasiliano daily ikabidi niombe ku meet nae ili kama kitu kinalipa nipige sound.

Kimbembe siku ya kukutana pale posta dah demu halipi ni mbovu mbovu haswaaa then ana ndevu alafu tulipanga nimpeleke geto kwangu dah nikaona hapa wapangaji watanicheka na kitaa wakimuona itakua story! Dah ktk kusalimiana akataka kuni hug ikabidi nikubali mana sikutaka ashtukie nilichokua nawaza.
Baada ya salam dah nikasugua akili nifanyeje nimtoroke huyu dem ndani ya dakika 1?!
Gafla idea ikaja kwa kua nina simu 2 nikatoa moja then nikajifanya nachat kumbe nikajipigia kwa simu nyingine ambayo ipo mfukoni.
Ilipoita nikatoa nikajifanya napokea baada ya halo...haloo... nikajifanya nahamaki haa! ......Wapi?....mwenge?......makongo?....okay nakuja fasta, nikakata simu.

Nikamgeukia demu sana nikijifanya am comfused nikamwabia dem mdogo wangu kagongana na daladala sasa pande hiv za makongo so ameniita niwahi kumpa msaada so sorry baby we wl talk next time. Nikamuaga na kwa kujifanya nina haraka nikachukua tax nikasepa.

Tangu siku hiyo nimekoma kuchombeza madem usiowajua.
 
Ila umemwacha kwenye mataa,atakuwa amejisikia vibaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom