Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,384
- 3,057
Huwa napenda sana kuna wazee flani au watu wazima wenye pesa anakuwa na ngozi usoni laini inakuwa na tuvitobo vitobo hivi kama amenyofoa ndevu.
Huwa najiuliza wanakuwa wanapaka nini usoni?je ni aina ya after shave au shaving cream inawafanya wawe hivyo usoni?
Mimi usoni nina ndevu nyingi sana natamani niwe nanyoa.maana kwa sasa madogo nao wanafuga ndevu wakati hii ni sunna. Wao wanajifugia tu kama urembo. Sasa nime ona bora niwe nanyoa tu. Lakini nataka nibaki na kidevu safi na ngozi ya kitajiri.
Nitumie nini?