Umeshawahi kusaidiwa homework na mzazi?

Bishop Hiluka

Verified Member
Aug 12, 2011
6,341
2,000
Umeshawahi kusaidiwa homework na mzazi halafu ukapata ZERO?
Hapo ndipo unapojua shida sio weweHalafu mwalimu akwambie nenda kamlete mzazi wako aje aone upumbavu unaofanya... Mzazi hata kwa bunduki haendi shule...
 
sergio 5

JF-Expert Member
May 22, 2017
8,719
2,000
Mm ukoo wetu ndyo mwenye akili toka niko mdgo sijawah kosa swali lolote
 
Bacyclerbacy

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
1,640
2,000
Niliwahi msaidia mdogo wangu alafu akakosa
Alilalamika huyoooo hadi aibu

Kiranga kimeniisha sasa ameshasahau so akija na viporo vyake namkazia sura namwambia tena ole wako ukakose
 
mzado

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
925
1,000
Umeshawahi kusaidiwa homework na mzazi halafu ukapata ZERO?
Hapo ndipo unapojua shida sio weweHalafu mwalimu akwambie nenda kamlete mzazi wako aje aone upumbavu unaofanya... Mzazi hata kwa bunduki haendi shule...
Unakuta mtoto pasuakichwa afu anakuletea taarifa mbele ya mgeni hahaha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom