umeshawahi kupigana?

Mimi toka niko shule napenda sana kupigana mpaka sasa juzi bado kidogo nimpige baba mkwe wangu
santeee safi sana ujue samtaimu hawa wazee wanazingua sana.
Nalog off
 
Mara ya mwisho kupigana ni mwaka 1992 nikiwa darasa la kwanza, nilipigana na kikaka fulani hivi kilinicapa makonde sitosahau toka hapo mie sipigani tena!
 
Mara ya mwisho kupigana ni mwaka 1992 nikiwa darasa la kwanza, nilipigana na kikaka fulani hivi kilinicapa makonde sitosahau toka hapo mie sipigani tena!
pole sana ila si unaweza kumpiga mtu mkwara?
Nalog off
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…