oya acha tufanye kazi kwanza.. Sio kwa kunichekesha huku...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kweli huyu nyoka mpaka umkanyage, niliwahi kuchunga ng'ombe utotoni nikabanwa na haja kubwa porini, nilipomaliza kukata gogo natafuta jani nichambe, kumbe pale karibu kabisa na niliposhusha gogo alikuwa katulia ananichora tu, ilibidi niondoke taratibu, nikaenda chambia sehemu nyingine, kumsimulia babu akasema huyo sio swila, huyo mpaka umkanyage, ndio akung'ate, na vile vile inasadikika katika kabila langu ukiwakuta kwenye shamba lako la mihogo basi mihogo itanenepa kama lenyewe na inakuwa hivyo, hizo ni imani tu za wahenga
USIMPOTOSHE MTU, HUU NI UWANJA WA KUPEANA USHAURI, KAMA HUNA LA KUANDIKA KAFAGIE UWANJA HUKI NJE.Nikweli kabisa au unamshika mzima unamweka ili akung'ate kibamia akishakung'ata tu kibamia kinaanza kukua ndani ya masaa matatu tu
Duh! UmetishaUnahurumia snake!? Yeye hawezi kukuhurumia jombaa... Na tumeagizwa tuwaponde vichwa, hivyo hao jamaa walitimiza maandiko....
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
nimeona kadoda nikakumbuka jina la mwalimu wangu wa fizikia mkwawa complex and casino miaka ya 95 mpaka 97, alikuwa anapenda kujiita baba kadoda, alikuwa na msemo akiwa anakubali utasikia okey, sawa, ndio, wakati yote yana maana 1,oya acha tufanye kazi kwanza.. Sio kwa kunichekesha huku...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alikufa...?Uyu nyoka ameshawahi kumuuma mdogo wangu .....dah [emoji17] [emoji17]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama mko watu wawili mmesimama, halafu akapita katikati yenu, maana yake ni nini?Onto kwa taarifa yako kumuona kifutu tangu kichwa hadi mkia anakatiza njia yako kama unaenda mwenye biashara au Kazi ya kukupa kipato ni mkosi babu kubwa kuna lolote litatokea hadi kufilisika si nyoka mzuri
na mm nasubiri jibu la swali hili maana ishawahi kunitokea huyu kifutu mida ya usiku alipita mbele yetu nikiwa na ba mdogo wangu tukafanikiwa kumuua tulipopiga hatua tena kadhaa tukakutana na mwingine anakatisha barabara tukamuua. kesho yake tukapokea taarifa mbaya ya msiba ndugu wawili wa familia moja kaka na dada wamefariki na walipishana masaa machache katika vifo vyao!Na kama mko watu wawili mmesimama, halafu akapita katikati yenu, maana yake ni nini?
Nyoka ana aibu? Huo muda wa kumchunguza sina mi ni nduki tu