Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

hatari sana mkuu
 
ahahahahah! pumbaf sana wewe kijana umeamua kutuuza au siyo? au ndo kile cha A town
Bro, unaenda kule kwa mihemko unakuta unauzwa. Sasa inabidi ujinunue ndiyo upone chupu chupu!

Human trafficking in dark webs is normal. It should not come as a surprise to you unless you are less acquainted with what businesses are done there!
 
mkuu unasema
 
Nimewahi ku-download hio Tor browser na kuzama kwenye dark web. Hakika kuna mambo ya ajabu sana. Nimeona site za kuuza bangi madawa na kujifunza namna ya kuiba kwenye atm. Ni hatari sana
so ulichi fanya ni kudownload iyo Browser tu basi au? any thing else please...!
 
Mi huwa naingia kila siku uko..nacheck vitu vya hatari naenjoy sana..natumia kali linux os na tor browser..asante kwa mleta mada mana nilifanya hii kitu toka nasoma post hii mwaka jana
Habari boss Naomba nikuchek inbox kuna mambo kidogo kuhusu kali pinux nataka jua
 

Boss samahani how to learn hio deep web

Maana mtoa mada kasema tu install rhen start to browse

Japo n uzi wa kitambo nimekuwa interested kdogo ngoja nipitie comment zote

Na je hii naweza tumia kuhack txt za watu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…