Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

mmmh mambo ya dark web..forever tutaikumbuka silk road.. huko saivi kumejaa wanigeria na scam zao za credit cards...1bitcoin = 600 usd
Da maisha yapo kasi sana sahivi 1btc=USD..... Utitiri
 
Kumbe mwamba ulikua unaweza kuandika kabisa zamani kabla huujaanza ku cc malkia😀
Mmh!! Hata msifikirie kwenda deep web...

Vitu kama youtube... google... yahoo... na zinginezo mzaziona hapa... huko ni balaa...

Hapako salama hata kidogo... ukifanikiwa kuingia... hisitoria yako yote ya kwenye mtandao ina kuwa track up... mambo yote uliyokwisha fanya yanakuwa wazi...

Kama wewe siyo professional hacker.. unaweza ukashangaa ukawa muhanga wa mambo mabaya na machafu...

Wote mnaotaka kwenda huko chunguni sana.. IP au static IP addreaa zenu zisiweze kuwa tracked... laa sivyo mmh...

Mtasikia tu fulani kapotea kwenye mazingira ya kutatanisha ndiyo hivyo tena.. unaenda kufanyia live show za mambo mabaya na machafu...

Porn za huku ni za 18+ za huko ni za 11-

Biashara haramu zimejaa huko... ukiagizia kitu.. baada ya kufanya mihamala na credit card yako... wanadukua taarifa zote.. na kuambiwa unaweza kuvipata au kutovipata kulingana na mazingira yatakavyoruhusu... sababu ni magumashi...

Uki agizia kitu taarifa zinazokuja duniani ni kama vile imeagizia kipande za sabauni... kumbe ni mambo ya ajabu umeagizia...

Kuna site huwezi kuingia mpaka uwe hacker... na ukiingia huwezi kuzigunga yani kutoka kwenye hiyo web page.. mpaka waamue wao na huwzi kuzima mashine yako... wana ku pin... huwezi fanya chochote na kifaa chako...

Panaogopesha sana... kweni makini sana.. na Deep web... msitembelee vitu vinavyoitwa black box...

Msijaribu hata kwenda huko.. endeleeni tu ku stream makatuni youtube... huko uwe na roho mbaya...
 
hakika unaweza ukadhani labda hawa wanaongelea kua deep web sio sehemu ya kwenda pengine wanajitungia.
nimesoma coment moja balada ya nyingine kuanzia mwanzo mbaka mwisho,na nimefata procedure zote na kufanikiwa kuingia huko.

kwanza sikutaka kuamini kama kweli huwezi piga screenshot na nimejaribu(wanasema app hairuhusu) kiukweli sijaangaika sana kusoma hayo maelezo na nimetoka haraka sana.

nimeingia moja ya pornsite ni kama xxxvideo.ila nimeshindwa kuplay kwasababu wanataka ulogi in kama xxxvideo.lakini walau picha nimeona mfano kama mbili za wanawake waliobakwa na kuuwawa kikatili kama walivokua wanaonekana hata kama ujaiplay vidio.
hakuna kitu kimefichwa, huwezi tu play lakini unaona namna ambavyo yule mwanamke amepasuliwa pasuliwa.nimeona porn ya msichana wa miaka kumi.nimeona japo kwa ufupi lakini kunatisha na sikutaka kuscroll down any more.sijaamini macho yangu hata kwa hiki kodogo nilichokiona.

sio hadithi na wanaosema kua hakuna kitu chakutisha sijui wao walikua wanaangalia wapi,lakini pengine kweli awajaona.

ninaamini hata walioona wameshindwa tu kuweka uthibitisho lakini yaliosemwa yapo kwa asilimia zote.
 
hao ambao hawakuona walikua wanapuyanga tu hovyo ila ukifuata maelekezo vizuri unaona vizuri tu kile unachokusudia.
 
yani binafsi sikutaka kubisha lakini sikua na imani sana namna ambavyo wachangiaji walivyokua wasisitizia kutojaribu huko.
lakini nikasema wacha nithubutu hakika hawa wenzetu sijui walikua wapuyangia wapi
hao ambao hawakuona walikua wanapuyanga tu hovyo ila ukifuata maelekezo vizuri unaona vizuri tu kile unachokusudia.
 
Kumbe mwamba ulikua unaweza kuandika kabisa zamani kabla huujaanza ku cc malkia
Nmeshangaa sana kuona comment yake,,,,,hajawah kuandka comment ndefu hv yy zake utaskia "ngoja waje wakupe mwongozo"
 
Ni hatari mkuu du! Niliyo yakuta huko jana hatari tupu, kama huna moyo wa chuma nakushauri acha kabisa iphone yangu nimeiunguza nikiwa humo deep
wacha we... kivip??? Tueleze kidogo
 
wakuu mi nimeenda huko dark web ukisikia biashara haramu bas ndiyo sehemu yake huko .;mi nimeagiza AKA 47 moja inakuja wiki ijayo.
Kuna chalii nlikuwa namcheki YouTube,
Aliingia huko akawa anatupa step by step ya web anazoingia,
Sijui alibugi akaingia kwenye site gan.
Mara pap huyo karuka kutoka kwenye kiti chake na kufunika laptop ghafla akiwa anatetemeka, akaacha kustream akapumzishe akili.
 
MREJESHO

Kwanza simu ilianza kubweka kama mbwaa hee maajabu leo,,, likatokea lijitu la miraba minne unataka nini huku...nachungilia tu...

Likasema ngoja uone,,, kasimu kakaungua sirudi tena😵😵😵
C.H.A.I.
 
Tangu huu uzi uanzishwe humu sijapata mrejesho wa kueleweka yani bado wote walioenda huko naona wana mawenge mawenge sijui kimewapata nini ndugu zetu mje mtuhadisie yaliyowasibu huko..

Natamani mtu aje na feedback stepby step itakuwa safi sana aisee..
 
Unajua kinachoshindikana ni kuweka ushaidi kutokana na kwamba hata screenshot simu haipigi.kwahiyo hatua za kuingia ni hizo hizo ila ushaidi wa yale tulioyakuta ndipo mtiani ulipo.na ndiomana unapomuadithia mtu na lile wenge anaona kama ni stori lodi rofa

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
MREJESHO

Kwanza simu ilianza kubweka kama mbwaa hee maajabu leo,,, likatokea lijitu la miraba minne unataka nini huku...nachungilia tu...

Likasema ngoja uone,,, kasimu kakaungua sirudi tena😵😵😵
😀
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom