Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

hizi naona ni strori
hizi naona ni stori tu za mitandao, sasa.muuza bangi huko mexico ananifikiaje ili nipate mzigo wangu.
 
Siri moja tu ya dark/deep web ni katika URL🏃🏃🏃 na washikaji/marafiki kibao wasio na huruma wapo kule...

Mambo ya bank bin na info zote kule simply unapata kwa urahisi sana.
 
Kama unataka jua zaidi gusa hapa Vatican Inamiliki Dunia - JamiiForums
 
Pole saana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo nimeingia nimeona jamaa wanauza unga na kila aina ya madawa ya kulevya unayoijua wewe, huko kuna watu wanauza paypal accounts zenye dollars kibao ndani yake ambazo ziko hacked, tena zinauzwa kwa bei rahisi hatari, huko kuna wanaouza vitambulisho vya utaifa hasa USA na UK kwa dollars 1000 hadi 5000, huko kuna wanaoweka video za watu waliobakwa mitaani na kudhalilishwa, hukowanaweka ngono za watoto wadogo za kulazimishana, huko wanauza credit cards zilizoibiwa zenye pesa ndani yake kwa bei chee! huko wanauza vifaa vya apple/samsung vilivyoibiwa kwa kuporwa/bandarini kwa bei chee tena ni original kabisa. Huko kuna mitandao ya kijamii watu wanadiscuss jinsi gani dunia iwe na wafanyaje kuleta teknolojia mpya yenye bad impact ndani yake. Huko kuna drug dealers wazoefu hatare. Huko kuna soko bubu/ soko jeusi (black market) soko lenye bidhaa nyingi kwa bei chee. Ila nilichokiona pale ni kwamba ikiwa ukanunua bidhaa isiyo halali basi ni rahisi kuwa tracked na kukamatwa maana most of the sellers sio wauzaji kweli wengine ni FBI/Polices wapo pale kugundua wanunuzi ni wakina nani na chain ya wauzaji ikoje. So kuwa makini pita kimya kimya bila kufanya muamala. Huko kuna video na habari za siri za wanasiasa wa duniani kote ambazo jamii haijaambiwa kwa ulimwengu wa kawaida moja ya mtandao ulioko pale OG ni Wiki Leaks yenyewe yenye version iliyojificha. Alafu kuna baadhi ya sites haziko listed kokote zaidi ya sehemu maalum tu. hata ukizisearch kwa duckduck go huzipati kirahisi sasa nilibahatika kuzipata kama 5 kutoka kwenye baadhi ya forums za siri huko, aisee kuna watu wanafanya unyama hatari hii dunia ni chafu sana dah! watu hawana huruma kabisa! watu hawajali, i think ni ma agents wa shetani wale dah!

wale wa tor browser ingia hapa uone nusu ya maunyama http://gjgbztmown7d6usl.onion/

NITAWEKA SCREENSHOTS HAPA MUONE JAPO NAHOFIA MODS WATAZIONDOA AU WATABAN ID YANGU ILA NDO UKWELI WENYEWE JAMII INAPASWA KUJUA WHAT IS GOIN ON!

Kama unataka niweke screenshots haraka gonga LIKE, zikifika 50+ nafichua madudu yote ya mule ndani.
 
Nasubiria mkuu.
 
All of this for just likes? Nenda Insta huko watakupa likes mpaka uchoke mkuu
 
Duh nimeacha kuyaamin maneno yako ulivosema et zikifika likes 50+
 
All in all guys Please kama mtu haupo na ujasiri usitumie tor browser kuingia huko maana sio tu unyama but Kuna vitu vya ajabu ambavyo baadhi ninevishuhudia. Kuu best yangu aliingia na kuagiza laptop lakin cha ajabu ni kwamba laptop ilikuwa hacked balaa sana kana kwamba ilikuwa ikiwaka yenyewe without hata kuwasha. Mwisho wa siku aliiuza tu kwa mtu. But it is more than scary kuingia huko ndani.

Sent using Infinix hot 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…