Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

Kama utatumia simu au computer hakikisha huna file la picture yani kama kuna picture zako hakikisha umezitoa zote mana wao wanauwezo wa kufungua file zako zote kwenye simu yako au computer yako pale utakapo ingia kwenye hiyo dark web kwa kifupi unapoingia tuu basi nao uweza ku access kila kitu kwenye simu yako au computer yako so ni vizuri ukatumia computer au simu ambayo haina file lolote lile
 
Wengine ICT tunaisikia redioni, ngoja tuone mnaofika huko mtuletee stori za hao ISS
 
Kwenye benki hapo ungedadavua zaidi tuelewe.
 
 
Hv huwa mnatumwa kudanganya au mnapata faida mbona mnakuwa miongo miongo hv jitu linasoma tu google lina comment mi nimeingia hakuna simu kuzima hakuna cha maana sana cha kutisha hizo bussines chafu nani asiejua dunia hii? Sijaona jipya kwama huna bad intetion ya kufanya izo bussines. Nime pitia naona kawaida tu
 
mmh unafuraisha sana,umepata link ya web zinazouza bunduki
 
mmh unafuraisha sana,umepata link ya web zinazouza bunduki
Ndio, sasa ajabu kuuza bunduki ni nn? Clip za kuchinja kwenye surface web hakuna? Kwakweli sijaona jipya huko ambalo hatulisikii redioni wala kuona kwa TV. Money laundering nalo la ajabu? Kuuza madawa wakat hata buguruni huko, magomeni wanauza. Posta pale kuna duka la bastola. Ma hata surface web wanauza silaha sema tofauti ni legal na illegal
 
Hadi uwe na l
HADI UWE NA LINK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…