Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

safi sana mkuu! ngj nizame huko sasa
 
swali la msingi.. hivi dark web wana seach engine yao??? au kutafuta taarifa huko ni mpk uwe na url husika??

Mkuu:
Huko hakuna kuzurula hovyo. Unatakiwa uingie mahali husika kwa kutumia url. Ukianza kuzurula utakutana na wenye miji yao na wanauwezo wa kukuletea matatizo.
 
Mkuu nipe url moja ya biashara haramu nifungue nione yaliyomo..
 
swali la msingi.. hivi dark web wana seach engine yao??? au kutafuta taarifa huko ni mpk uwe na url husika??
Kuna site moja wanatoa link ya sehemu husika unayotaka
 
Mkuu nipe url moja ya biashara haramu nifungue nione yaliyomo..

Mkuu:
Ukibahatika kupata url yeyote ya Deep/Dark web basi wewe ni muhusika. Unaweza kupata lakini ku-access kupitia browser ya TOR ni ngumu sana kupata web page. Kuna encryption code/password ili ufanye browsing.
 
Nimejaribu kuzicheck hizo site but wanataka kuregister before kutumia.. na registration wanahitaji email.. sasa nikitoa email yangu sindio mambo ya kuexpose identity yangu yanapo anzia hapo...?
 
Mkuu:
Ukibahatika kupata url yeyote ya Deep/Dark web basi wewe ni muhusika. Unaweza kupata lakini ku-access kupitia browser ya TOR ni ngumu sana kupata web page. Kuna encryption code/password ili ufanye browsing.

Duh basi hiyo Deep web itakuwa inatumiwa na vibwengo tu pekee.... Najiulizaga pia Web Hosting yake inakuwaje?? wanatumia DNS hizi hizi na IP hizi hizi..!??
 
Duuuh....
Kweli Dark Web
 
Duh basi hiyo Deep web itakuwa inatumiwa na vibwengo tu pekee.... Najiulizaga pia Web Hosting yake inakuwaje?? wanatumia DNS hizi hizi na IP hizi hizi..!??

Mkuu:
Sina hakika kuhusu Web Hosting lakini si tatizo inawezekana kuwa hosted kama web sites zozote tu nafikiri hapo VPN itahusika.
Lakini Domain Name Servers pamoja na IP address hazina tofauti kwani unatumia facilities hizi hizi za kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…