Umeshasikia kuhusu 'DEEP WEB'?

interesting... so who developed these deep web and dark web,,i'll go there somedays
 
muthenge kwelii wewe
 
Mkuu endelea inaonkana unajua sana kuhusu hii ishu
 
Kwa ushauri tuu

"ukianza kutumia tor browser hakikisha account zako za gmail, Facebook haziko online"

Hakikisha unajua unachokitafuta kwenye dark web kwani kuna uwezekano mkubwa wa computer yako kutumika ku-extract cryptocurrency hivyo kuifanya kuwa slow.
 
kule illegal business kubwa zinafayika kama madawa ya kulevya,deal za mauaji viongozi wq serikal,kampuni,waandishi wa habari na kadhalika kwaiyo intelijensia kubwa dunia uwepo kuangalia na kukusanya data..kiufupi kule mkuu ni real deep yani
Hizo illegal zinamhusu nini anayeperuzi
 
Bado sijaelewa vizuri namna ya kuingia huko mkuu.. Nipe muongozo rahisi
*Tumia tor browser
*Strong VPN
*Km computer yako ina camera ifunike kwa kitu chochote ili mradi isiweze kuonesha au kukuchukua picha au video.
Mengineyo.
Ukiishangia usidownload kitu chochote usichokijua au ku click link yyte usioijua
Hizi ndizo dark web search engine km zilivyo google, bing, yahoo n.k
*Onion.City
*Onion.to
*Not Evil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…