Umeshaombwa soda airport?

Umeshaombwa soda airport?

Mimi askari airport ya egypt aliniomba dola 10 iliyokuwa nimeiweka katika makolokolo yale yanayopita kwenye mashine wakati wa ukaguzi....wafanyakazi wa airport ufikiri kila msafiri anazo!!!

...kwa kipindi cha miezi 3 niliyokaa Egypt nadhani wale jamaa wanaongoza kwa kuomba...wanaomba hadi dola moja
 
hii kweli tupu,niliombwa soda pale na mama mmoja tena baada ya kusumbuliwa sana na hao maafisa uhamiaji natoka ndio na huyo mama ananiomba soda,nikamtupia dollar 2 iliyobaki njiani akaniambia haitoshi,nilitamani kumpiga ngumi,nikamuuliza kwani soda zimepanda bei hivyo siku hizi!,bado baadae nikakutana na ******* sijui walijiita usalama wa taifa pale mlango wa kutokea wakanipakazia nimebeba bwimbwi tuende ndani kwa investigation.kufika ndani wakanipiga sachi ya nguvu wakakuta hamna kitu,walipoona kuna euro za kufa mtu,wakaanza kunichelewesha tu makusudi.mwisho ilibidi niwaachie euro 100 nitimue maana nilichoka na usumbufu wao.tena mmoja wa hao askari anaitwa mujwambusi na walikua na demu mmoja.
nawaandalia kesi watarudisha hela yangu:shetani:
 
kwa hy wakiingia wapinzani, wafanyakazi wote wa Airport wanaondolewa?

Mkuu suala sio "kompyuta" (hardware), bali "operating system" (software) ndo imeoza na inahitaji kubadilishwa.
Namaanisha kuwa suala si watu bali mfumo ndo umechoka na hauna namna ya kutengenezwa bali kubadilishwa.
 
Mkuu ningemjibu hivyo hivyo!
 
hii kweli tupu,niliombwa soda pale na mama mmoja tena baada ya kusumbuliwa sana na hao maafisa uhamiaji natoka ndio na huyo mama ananiomba soda,nikamtupia dollar 2 iliyobaki njiani akaniambia haitoshi,nilitamani kumpiga ngumi,nikamuuliza kwani soda zimepanda bei hivyo siku hizi!,bado baadae nikakutana na ******* sijui walijiita usalama wa taifa pale mlango wa kutokea wakanipakazia nimebeba bwimbwi tuende ndani kwa investigation.kufika ndani wakanipiga sachi ya nguvu wakakuta hamna kitu,walipoona kuna euro za kufa mtu,wakaanza kunichelewesha tu makusudi.mwisho ilibidi niwaachie euro 100 nitimue maana nilichoka na usumbufu wao.tena mmoja wa hao askari anaitwa mujwambusi na walikua na demu mmoja.
nawaandalia kesi watarudisha hela yangu:shetani:

Hao wa pale mlangoni kwa kutokea nje ndo balaa kabisa! Wana njaa utadhani wametokea sudan ya kusini. Yaani hakuna siku nimepita pale wakaacha kunisimamisha na kukagua passport yangu, wakiona hakuna kitu wanakuuliza maswali ya kizushi balaa! Dah!
 
Back
Top Bottom