Leo nipo safarin,natoka kinondon naelekea tegeta kibaoni,kwakweli safar yangu inakabiliwa na jam,na daladala haina radio
Safari njema.Je mmesha shuka kuchimba dawa.hahahah hahaha pole
hahahah hahaha pole
Safari yangu ya mwisho ilikuwa 07/10/2011 nilitoka dar kwenda Moshi kwenye msiba wa shemeji yangu.
duh pole sana Mzee.kila nafsi itaonja mauti.
Maisha ni safari, ishi utakavyo
Dah!hii thread imenisisimua kweli,mara yang ya mwisho kusafr ilikuwa ni siku ya ijumaa tareh 14 mwez 10 mwaka huu toka zenji kuelekea masomoni dodoma(udom),kwa kweli safar ilkuwa na changamoto nying sana,kwanza nililazmika kuunganisha safar yani toka znz had dar na toka dar to dom na hii ni kutokn na hali ya usafiri kuwa ngumu kwa kipndi hicho coz wanafunzi weng ndo walikuwa wanafungua vyuo hususan siye 1st year,hivyo ilinilazm nichukue costa km usafiri pekee ulokuwepo tn kwa bei ngumu sana,pili wakati tukiwa morogoro mara gari ikapata pancha hivyo iltulazm tuchukue muda kdg kwa ajili ya matengenezo,bada ya matengenezo yaliyochukuwa takribani masaa mawili na kitu hv,safar ikaanza ila hatukufika mbali mara gari ikashkwa na askar kwa kosa la kutumia route ambayo c yake na hapo tulitumia takriban saa moja.sasa kilchonipa tabu ktk safar hiyo ni kwamb ckuwa na jamaa yeyte pale dodoma na wazoefu walinipasha kuwa dodoma tunaweza kuingia saa 4 au saa 5 usiku hapo ndipo kichwa kikaanza kuniuma na kweli tulifka time ambazo niliambiwa,duh nilichokaa!lakn kuna jamaa mmoja ambaye ni mwanafunz wa chuo cha mipango alijitolea kunihifadhi mpak siku ambayo nilifanikiwa kujisajili na kupatiwa rum pale chuon,kwa kweli mungu ampe kila la kheri yule kijana.Nilchojifunza ktk safar hii ni kwamba kuna watu wanaimani sana na pia kuamini kwamba binadamu wote ni ndugu lkn pia ucmdharau usiemjua maana huwezi jua...........!!
Umenisisimua sana talentboy nakutakia mafanikio katika masomo yako