Umesafiri lini mara ya mwisho na wapi?

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
Kwa mara ya mwisho ulisafiri wapi na lini na safari yako ina kumbukumbu gani ya kusisimua au kuhuzunisha au ni funzo gani umepata katika safari hiyo. manake safari ni hatua na ina mambo mengi.
 
dah! Asante kwa thread safari yangu ya mwisho ilikuwa mwaka 2009 sijasafiri tena,ila nilisafiri nikiwa na ugonjwa wa malaria,usijaribu. Nalog off
 
Leo nipo safarin,natoka kinondon naelekea tegeta kibaoni,kwakweli safar yangu inakabiliwa na jam,na daladala haina radio
 
Safari yangu ya mwisho ilikuwa 07/10/2011 nilitoka dar kwenda Moshi kwenye msiba wa shemeji yangu.
 
Safari yangu ya mwisho ilikua 28sep 11 kutoka Zanzibar kwenda komoro ndege ilichelewa kuondoka tulikaa airport masaa6 nilichukia make up yote nilifuta....
 
Dah!hii thread imenisisimua kweli,mara yang ya mwisho kusafr ilikuwa ni siku ya ijumaa tareh 14 mwez 10 mwaka huu toka zenji kuelekea masomoni dodoma(udom),kwa kweli safar ilkuwa na changamoto nying sana,kwanza nililazmika kuunganisha safar yani toka znz had dar na toka dar to dom na hii ni kutokn na hali ya usafiri kuwa ngumu kwa kipndi hicho coz wanafunzi weng ndo walikuwa wanafungua vyuo hususan siye 1st year,hivyo ilinilazm nichukue costa km usafiri pekee ulokuwepo tn kwa bei ngumu sana,pili wakati tukiwa morogoro mara gari ikapata pancha hivyo iltulazm tuchukue muda kdg kwa ajili ya matengenezo,bada ya matengenezo yaliyochukuwa takribani masaa mawili na kitu hv,safar ikaanza ila hatukufika mbali mara gari ikashkwa na askar kwa kosa la kutumia route ambayo c yake na hapo tulitumia takriban saa moja.sasa kilchonipa tabu ktk safar hiyo ni kwamb ckuwa na jamaa yeyte pale dodoma na wazoefu walinipasha kuwa dodoma tunaweza kuingia saa 4 au saa 5 usiku hapo ndipo kichwa kikaanza kuniuma na kweli tulifka time ambazo niliambiwa,duh nilichokaa!lakn kuna jamaa mmoja ambaye ni mwanafunz wa chuo cha mipango alijitolea kunihifadhi mpak siku ambayo nilifanikiwa kujisajili na kupatiwa rum pale chuon,kwa kweli mungu ampe kila la kheri yule kijana.Nilchojifunza ktk safar hii ni kwamba kuna watu wanaimani sana na pia kuamini kwamba binadamu wote ni ndugu lkn pia ucmdharau usiemjua maana huwezi jua...........!!
 
Umenisisimua sana talentboy nakutakia mafanikio katika masomo yako
 
it was just recently about a three weeks ago. tunatoka dar to moro. duh kukaribia moro katika kale kapori ilikuwa kama saa 12 na nusu hivi jioni. mvua kali sana. ukungu umetanda hadi taa za full hazifanyi kazi kabisa. hapo ndipo tukaanza kutembea kwa 5kmph. kwa kubahatishia njia. no fog light. mbele hatuoni kabisa. aacha tuanze kusukumiziana gari endesa wewe endesha wewe. mvua haikatiki na ukungu haupungui. yaaani tulitembea zaidi ya masaa matatu kuanzia kipori hicho hadi moro. dah it was a life experience.
 
Mkaandamane sasa
Dah!hii thread imenisisimua kweli,mara yang ya mwisho kusafr ilikuwa ni siku ya ijumaa tareh 14 mwez 10 mwaka huu toka zenji kuelekea masomoni dodoma(udom),kwa kweli safar ilkuwa na changamoto nying sana,kwanza nililazmika kuunganisha safar yani toka znz had dar na toka dar to dom na hii ni kutokn na hali ya usafiri kuwa ngumu kwa kipndi hicho coz wanafunzi weng ndo walikuwa wanafungua vyuo hususan siye 1st year,hivyo ilinilazm nichukue costa km usafiri pekee ulokuwepo tn kwa bei ngumu sana,pili wakati tukiwa morogoro mara gari ikapata pancha hivyo iltulazm tuchukue muda kdg kwa ajili ya matengenezo,bada ya matengenezo yaliyochukuwa takribani masaa mawili na kitu hv,safar ikaanza ila hatukufika mbali mara gari ikashkwa na askar kwa kosa la kutumia route ambayo c yake na hapo tulitumia takriban saa moja.sasa kilchonipa tabu ktk safar hiyo ni kwamb ckuwa na jamaa yeyte pale dodoma na wazoefu walinipasha kuwa dodoma tunaweza kuingia saa 4 au saa 5 usiku hapo ndipo kichwa kikaanza kuniuma na kweli tulifka time ambazo niliambiwa,duh nilichokaa!lakn kuna jamaa mmoja ambaye ni mwanafunz wa chuo cha mipango alijitolea kunihifadhi mpak siku ambayo nilifanikiwa kujisajili na kupatiwa rum pale chuon,kwa kweli mungu ampe kila la kheri yule kijana.Nilchojifunza ktk safar hii ni kwamba kuna watu wanaimani sana na pia kuamini kwamba binadamu wote ni ndugu lkn pia ucmdharau usiemjua maana huwezi jua...........!!
 
dah! ndo narudi kutoka tabata.sasa hivi naangalia taarifa ya habari,asante kwa thread nzuri.ngoja nipomue...uhuuuuuh..!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom