Unaijua mimba mdogo wangu au unaisikia?? Acha kabisa .unatapika hadi unatamani kutapika dunia yote yaani ovyo ovyo unajiskia.
Acheni tu mama aitwe mama
utanitafutia pisi kali[emoji23] hauna mdogo wako?
Yani mtoto najua sio wangu mi nimchukue kwa dhana ya kitanda hakizai haramu?Mwanamke akikupa mtoto wewe chukua tu mkuu. Kwanini uishi kwa pressure??
kwani unanionaje jamani😅 kijana mstaarabuYani nimtoe mdogo wangu kwako?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mke akishakuwa wako, basi hadi watoto anaozaa ni wako pia.Yani mtoto najua sio wangu mi nimchukue kwa dhana ya kitanda hakizai haramu?
Siwezi
kwani unanionaje jamani[emoji28] kijana mstaarabu
Kila mtu na bahati yake lakini unaweza usipate majanga yoyoteUsinambie [emoji15][emoji15][emoji15]
Ko hiyo hali inaendelea mpk siku ya kujifungua?? Aiseee!! Km hivo ngoja nikitulize [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eheee nipige wa 4 nje afu wa ndani watatuHee, we jamaa! kwa hiyo diferenti mazaz[emoji38]
Kwenye macho ya wengine ndio watakuwa wanaona hivyo.Mke akishakuwa wako, basi hadi watoto anaozaa ni wako pia.
usikubali mtoto asie wako, unamsaidia mwanaume mwenzako majukumuMke akishakuwa wako, basi hadi watoto anaozaa ni wako pia.
nimeacha kabisa😂Kuvuta ndumu na mishisha umeacha?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kila mtu na bahati yake lakini unaweza usipate majanga yoyote
Ila pacha wengi ndani hutotoka yaani
Utajuaje kama mtoto sio wa damu yako??usikubali mtoto asie wako, unamsaidia mwanaume mwenzako majukumu
nimeacha kabisa[emoji23]
How can you tell if the kid doesn't belong to you??Kwenye macho ya wengine ndio watakuwa wanaona hivyo.
Ila mimi nina aina yangu ya tafsiri kuhusu mke na watoto.
kwa vipimo, najua kuanza kuchunguza uhalali wa watoto ni vibaya, lakini kwa namna yeyote ukifanikiwa kujua mtoto sio wako, kimbia😂Utajuaje kama mtoto sio wa damu yako??