Umepanga kuzaa watoto wangapi?

Age 37 nina watoto 3, wawili walipatikana kwa njia ya upasuaji. Wife ananiambia kupasuliwa mwisho mara 3 hivyo akizaa mwingine kwa njia ya upasuaji basi itakua ndo mtoto wa mwisho. Maana yake tutaishia na watoto 4 tu [emoji22]
 
2 tu
 
Hii nadhani inawahusu wale wa jinsia ya kike sababu sisi wanaume ndio tunawapa mimba na wao mdio wanazaa!

Nashangaa kuna wanaume humu wanasema watazaa watoto 1, 2, 3 nk.
 
Niliplan wawili but mpaka sasa nishajenga nje ya bikoni nina watatu mama tofauti
 
Sita tu
 
Mpaka sasa nina watoto 9 kati yao wanne mama yao mmoja,watatu mama mmoja na wawili mama mmoja ,Mungu akipenda lengo wafike 12 hao watanitosha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…